Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,838
- 90,280
kwa kujali familia nawapa heko mahali sana familia kwa kweli hasa watoto.
Huko tumebobea
kwa kujali familia nawapa heko mahali sana familia kwa kweli hasa watoto.
sasa ulichoandika hapo sio ndio ROHO mbaya yenye!!!! USNITCH wenyewe ni ROHO mnaya!!!Kwenye roho mbaya hapo umewasimgizia.
Kwa uzoefu wangu kwa niliokutana nao;
1. Ubahili (Twitonga na bajeti)
2. Undumilakuwili/Masnitch (Kukugombanisha ni dakika 0).
3. Mafriji yao hayagandishi.
Yeah, kweli ni roho mbaya.sasa ulichoandika hapo sio ndio ROHO mbaya yenye!!!! USNITCH wenyewe ni ROHO mnaya!!!
Ila kuspoil mke mmhhhhhh!!!!!!! Nyie ni watoto wenu tuHuko tumebobea
🤣🤣🤣🤣 kwahiyo unanifungia halafu unajikana🙆♂️🙆♂️🙆♂️Kwanza useme nani ameamua kukufungia namna hii, ya wapare sio issue maana ulishawakataa😅😅
Roho mbaya na ubahili wa Wapare ilitokana na mazingira na maisha magumu. Hii ni baada ya kufukuzwa kutoka kwenye ardhi nzuri na Wachaga - Wapare = Wafukuze.Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
Mimi sio Mpare ila nimeoa Mpare wa Makanya-Same,kwa kweli naona kwa huyu wangu au niseme familia yao ni tofauti kabisa na hayo uliyoandika.Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
Sema jomba mpare akiwa msabato ubahili unakuwa promax. Msabato wa kipare hali nyama kabisa..... halafu Mungu ni kama alijua usabato utawafaa sana wapare ndo maana ukaanzia huko kwa hapa Tanzania.Tusipojieleza wasiotujua wataondoka na hoja potofu.
Lazima tukanushe
Marehemu Cleopa Msuya ni icon wa wilaya ya Mwanga, sio wa Upare nzima. Upare upande wa Same ni eneo kubwa na ndio lenye idadi kubwa ya jamii ya Wapare. Na Same imekuwa na viongozi wengi ukilinganisha na Mwanga.Kwa waliyemhifadhi hivi karibuni tu kwani huyo ndiyo Icon ya Wapare wote duniani. Hakuna Mpare asiyemshukuru Hayati.
Roho mbaya na ubahili wa Wapare ilitokana na mazingira na maisha magumu. Hii ni baada ya kufukuzwa kutoka kwenye ardhi nzuri na Wachaga - Wapare = Wafukuze.
Kwa mazingira magumu katika ardhi kavu ya milima, ubahili na roho mbaya ilibidi ziwa ni silaha za maisha. Maisha haya ndiyo wameyazoea hadi leo.
Labda wapare wa ukoo wenu tu.Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
Washirikina ku a dada tunakaa miaka 2 hatujawasiliana hufikiri namba yangu kaipoteza kama mm sasa akipiga baada ya kipindi kirefu ananiambia kama kuna mganga yeyote ninaemjua nimwambie hapo yupo kiwandani tu kwa wachina anaroga apate nafasi ya juu yaana hatari kama ukoma mtu hata 30 hajafkaWapare kwa Ubahili Hilo lipo wazi.
Ni wachumi
Huwezi Kula pesa ya Mpare Kiholela.
Yaani ni ngumu kumuita Mpare Buzi lako.
Ingawaje wapo mmojammoja.
Mama habari yako pole na majukumu ya ikuluHawana roho mbaya. Wewe ndo una roho mbaya.
Washirikina ku a dada tunakaa miaka 2 hatujawasiliana hufikiri namba yangu kaipoteza kama mm sasa akipiga baada ya kipindi kirefu ananiambia kama kuna mganga yeyote ninaemjua nimwambie hapo yupo kiwandani tu kwa wachina anaroga apate nafasi ya juu yaana hatari kama ukoma mtu hata 30 hajafka