Tunampango wa kupanda matembele, maboga na mihogo hapo kwny magari yalikopaki.Nahisi unamaanisha mita chache kutoka mall mazingira ni hovyo
Napapenda sana hapo.. hasa The Cask.. alafu warembo wa mwanza bado wan adabu, hata ukimuita anakuja kwanza anapiga magoti na kukuamkia 😁😁Kitega Uchumi Kwenye Jiji La Mwanza
View attachment 1532082
Alafu ni watii, sio kama wa darNimejiridhisha 😀😁😂😅
Wanapiga
Haha!🤣🤣 siyo mbaya, wanaweza kupageuza kuwa sehemu ya kupigia picha siku za sikukuu...Wasukuma na mall wapi na wapi bana....
Kulazimisha mambo tu.
View attachment 1536508View attachment 1536509View attachment 1536510View attachment 1536511
Kwahiyo mkuu ulitaka wajazane watu..? Kama ni hivyo jua huo Ni ushamba na ushamba mwanza ushakauka..😜Wasukuma na mall wapi na wapi bana....
Kulazimisha mambo tu.
View attachment 1536508View attachment 1536509View attachment 1536510View attachment 1536511