Rock & Roll Music

Rock & Roll Music

Ah huu uzi ni wangu,rock n roll ni vitu vyangu mkuu mleta mada embu washushie goma la AC DC "Iam on my way to hell",kisha washushie "jailbreak",wamalizie na jiwimbo la kiss- rock n roll all night na mwishowe "so you wanna be a rock n roll star" na "rock n roll woman"
 
Prince alikua na bifu na MJ
Hawa wasanii mara nyingine wana bifu za kibiashara ambazo si za binafsi... ila nna uhakika walikuwa na ushindani mkali sana kama simba na yanga hata kuonekana kama wanachukiana sana

mfano Tupac na Biggie, ukifuatilia kiundani hawakuchukiana... tena labda pdiddy alimtoa biggie akitumia east coast-west coast bifu ka kisingizio .. afu sirikali usa kumtoa Tupac
 
Back
Top Bottom