Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,681
- 27,007
Huyo jamaa yenu aliemtuma Lissu hana uwezo huo...!Gaddafi. Pia alikua anakiburi Sana mwisho wake akawekwa kwenye soko watu Wakawa wanaangalia maiti
Huyo jamaa yenu aliemtuma Lissu hana uwezo huo...!Gaddafi. Pia alikua anakiburi Sana mwisho wake akawekwa kwenye soko watu Wakawa wanaangalia maiti
Kwani Robert kasemaje? Naona wanaomponda wote hawajaelewa alichosema. Mm kwa kweli siwapendi watu wanaoingilia Uhuru wa nchi za watu. Uhuru wa watu na sio hawa wanaosema boksi la kura liheshimiwe. Tume ni ya Tz, tupo salama. Tl akapigwe kwenye boksi la kura na si vinginevyo.
Mimi ni miongoni mwa wasio na chama, ila kwa barua hizi za kuingilia uhuru wetu toka nje ya mipaka yetu, kura yangu nitampigia Magufuli kwa kweli.
Hii ni dharau kwa uhuru wetu.
Hayo yapo mikinoni mwa Rais MagufuliHali ya Libya ikoje sasa? Kwa hiyo, unataka taifa letu nalo liingie kwenye huo mtego, ambao umeinasa na kuiua Libya?
Swala siyo kwamba unaambiwa na wangapi,swala ni msingi wa unavyoambiwa & kwenye kesi Hii hoja ya msingi ipoSijui kama unaelewa ulichokisema! Kuna 15 presidential candidates. Hivi kama kila candidate atatafuta foreign actors wa kulipa taifa maelekezo, hii nchi itakuwa taifa la aina gani?
Musiba buyu tupuMusiba tafadhali tutafsirie
Lissu hata 20 per cent hapati..Subiri Lisu akipata 20% uingie road kusheherekea.
Swala siyo kwamba unaambiwa na wangapi,swala ni msingi wa unavyoambiwa & kwenye kesi Hii hoja ya msingi ipo
International Laws na sheria nyingine serikali ilizosaini zinaruhusu? Na kwa muktadha huu ni ndiyo-Hiyo ni haki yakeWhy foreign actors? Where’s our sovereignty?
Hayo yapo mikinoni mwa Rais Magufuli
Libya Sasa hivi wale vijana waliokua na kiburi kama kheri james wapo jela wanafanywa vibaya wengine ni wakimbizi
Afadhali Libya kuliko Tanzania ya akina James
Tanzania ni nchi huru comrade, hao wazungu wako hawana nafasi.Mtamwokota Kwenye mitalo mwaka huu ,Sio yeye alikuwa Gadafi unabishana na wazungu.
ICC anaweza kupakwepa;lakini vikwazo ni lazima na ndivyo vitakavyomkimbizaMagufuli mwaka huu ujanja ujanja utampeleka ICC,hakuna pa kujificha
Libya mchaka mchaka wake sio mdogoHujui unachokisema. Tembelea Libya ukajaribu kushinda JF kama unavyofanya sasa kisha utupe mrejesho!
Jiwe amepandikiza chuki na mafarakano nchini, uzalendo kwa sasa umeshuka sanaIla kuliingiza jeshi kwenye siasa ni jambo baya sana iwapo limefanyika.
Ikitokea vita (hatuombei) unadhani tunaweza kuwa wamoja tena?Mwalimu alituongoza kushinda vita vya uganda,je kwa hivi leo hali ilivyo watu wanavyochukiana na tena jeshi nalo lijiingize,mbona ni hatari?
Hivi kweli hakuna watu wenye hekima nchi hii kila mtu anawaza tu tumbo lake?Hasha siamini.Najua mpo wenye hekima.Vaeni ujasiri,muondoe hali hii.Mungu atawabariki kwa ajili ya nchi yetu.
International Laws na sheria nyingine serikali ilizosaini zinaruhusu? Na kwa muktadha huu ni ndiyo-Hiyo ni haki yake
Bora kuwekewa vikwazo kuliko kuwa na kiongozi kibaraka au wakala wa wanyonyaji.Kwa mtu anayejua jinsi ya ku shape siasa za Marekani-Washington atamwambia nguvu ya Lobby Firms,hawa jamaa wana ushawishi mkubwa mnoo na ndiyo maana hata ukiangalia tokea jamaa anamwakilisha Lissu Marekani imekua inaongelea siasa za Tanzania kwa ukaribu sana,na jamaa keshasema anakusanya ushahid ili kuapply sanctions kwa viongozi wa serikali kupitia US & UK magnitsky Law-NEC siyo Wajinga wanaporekebisha baadhi ya mambo huyu jamaa anayoyakosowa-& infact Amsterdam keshasema tumesha qualify for sanctions and its a guarantee there will be sanctions.
Usishabikie vikwazo...vitakuumiza wewe na jamaa zako. Magufuli hataathirika na chochote.ICC anaweza kupakwepa;lakini vikwazo ni lazima na ndivyo vitakavyomkimbiza
Libya mchaka mchaka wake sio mdogo
Wanasema msiba wa wengi harusi
Hakuna cha polepole wa Mavi 8 wala maJames wote kimbembe tu
Lakini bongo kuna watu wanakula kuku wengine wanateseka Sana
Mimi naona kama noma na iwe noma na kama neema iwe neema sio wengine wanaonea wengine