mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 539
Na utalipa zaidi ya kiwango unacholipa sasa bila kujijua. We chekelea tuHiyo itakuwa ni habari njema ingawa mafuta yatazidi kupaa
Na utalipa zaidi ya kiwango unacholipa sasa bila kujijua. We chekelea tuHiyo itakuwa ni habari njema ingawa mafuta yatazidi kupaa
Hebu nisaidie, na sisi wapanda daladala tunaepuka vipi wakati wewe ndio utawalipia wafanyabiashara za magari ya abiria?Sasa watabebeshwa mzigo wanaonunua mafuta kwa ajiri ya matumiz mengine kama kuendesha mitambo
Kama ndiyo hivyo bora kulipa RL, hapo mjue mafuta yatapanda!
Jana nilikuwa nimekaa mahali na marafiki tunapata kinywaji baada ya kazi ngumu mmoja wa marafiki zangu mfanyakazi wa TRA akatumegea tulipomdadisi zaidi akakataa kufunguka nadhani akupenda tujue mambo ya ndani sana.
Hii itakuwa habari njema kwanza mapato takusanywa kwa wingi zaidi kwa sababu wigo utakuwa mpana zaidi, mfano badaala ya 250,000/ tunayolipa kwa magari madogo which is fixed /yr, sasa hivi mtu unaweza lipa mpaka 500,000/ mpaka 1mil kama mtu wa misele bila kusahau ka si wa misele unaweza lipa laki1 ni ww tu na unavyotumia mafuta, hivi vitu ndo vinavyotakiww sasa
Watu imeisha tangu March alafu wanasukuma ndinga tu!Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
Mkuu hii ndio tutalia zaidi.......kupitia mafuta ndio tutaumia zaidi........wanatujua watanzania....hatujali....kama PAYE tunakatwa lakini haituumi utadhani tunalipiwa na mwajiri.......
Fikiria waongeze hata 300 kwa lita.....kama unatumia lita 5 kwa siku utalipia 1500 then kwa mwaka Approx 540,000
Ulivoipack unajiona bonge la mjanja sio
Ngongo katika kodi ambazo ni rahisi kukusanya ni pamoja na Road License, hii kamwe haiwezi kufutwa. Kozi za kwenye mafuta zina shida yake si mafuta yote yanapitia kwenye mfumo halali wa kibiashara mfano "Transit fuel"Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja.
Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja.
Nawasilisha.