kwa nini hatakukamata nijuze na mimi nijue
ukikamatwa wewe piga lugha ya malkia mwanzo mwisho tena ile ya kuminya ulimi na hiv wengi wao ni vilaza utasikia MISS IRON LADY GO!
kwa nini hatakukamata nijuze na mimi nijue
Ndio maana yake nikilipa sasa wakati nitaendelea kulipa kila nitakaponunua mafuta uoni huo ni ujinga.
Sasa watabebeshwa mzigo wanaonunua mafuta kwa ajiri ya matumiz mengine kama kuendesha mitambo, majenereta
Gari yangu hailipiwi hzo kodi ndogondogo na hata plate namba natumia fake na sijawahi kuulizwa na nmeingia nalo hadi posta mara kibao tu nadhani hua wanaangalia na mtu mwenyewe lkn mm hua ukinisimamisha napiga lugha ya malkia mwanzo mwisho na hv wengi wao vilaza tena naminya ulimi mwisho nasiki MR AROVERA GO!
Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja.
Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja.
Nawasilisha.
acha kuwadanganya watu, watu wakikusikiliza wataumia... usikute hata hilo gari hauna, yaani hata mkweche hauna haujawahi kuota...Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
Sema hakyamung.............Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja.
Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja.
Nawasilisha.
Yaani hapo abiria wa mabasi ndo watakuwa wanalipia road licence..Sasa watabebeshwa mzigo wanaonunua mafuta kwa ajiri ya matumiz mengine kama kuendesha mitambo
kwa nini hatakukamata nijuze na mimi nijue
ukikamatwa wewe piga lugha ya malkia mwanzo mwisho tena ile ya kuminya ulimi na hiv wengi wao ni vilaza utasikia MISS IRON LADY GO!
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
Gari yangu hailipiwi hzo kodi ndogondogo na hata plate namba natumia fake na sijawahi kuulizwa na nmeingia nalo hadi posta mara kibao tu nadhani hua wanaangalia na mtu mwenyewe lkn mm hua ukinisimamisha napiga lugha ya malkia mwanzo mwisho na hv wengi wao vilaza tena naminya ulimi mwisho nasiki MR AROVERA GO!
Iron Lady road license ikiwa imekwisha sio kosa la kukamatwa na traffic kwa sababu fine utaenda kulipa TRA siku utakapokwenda kuilipia watakachofanya ni kuangalia ilisha muda gani. So traffic akikusimamisha na kukuambia road license imekwisha muambie sio kazi yake ni kazi ya TRA.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
acha kuwadanganya watu, watu wakikusikiliza wataumia... usikute hata hilo gari hauna, yaani hata mkweche hauna haujawahi kuota...