tomaso
Sijakuelewa mkuu
tomaso
Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja.
Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja.
Nawasilisha.
Mambo hayo yalianza kipindi kamjamaa kakiwa kawaziri ka nini sijui awamu ile ya mr. clean. Inadaiwa kamjamaa kalipigiwa hawara yake (simjui jina) na baadaye akapigiwa na yule mwanamke aliyeimbwa kwenye wimbo wa papii. Kuanzia hapo muvi likaanza kwa jina la "wamelawiti watoto" lakini nyuma ya pazia inadaiwa muvi lilikuwa na sura tofauti kama ilivyoonekana kwa hadhira.
manake the more you buy fuel the more you travel on the road therefore MORE TAX! this is clever!
Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja.
Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja.
Nawasilisha.
Wakuu nimeskia tetesi kuwa Road liscence za magari kufutwa kwanzia mwezi ujao na zitakua included kwenye fuel. Je hizi tetesu ni za kweli?
Kwenye mafuta nani atakata hizo hela?
Muuza mafuta kwenye pump station ?
Muagizaji?
Au msambazaji?
Hii sasa ni ulaji kwa jamaa wa mafuta na kugawana baadae....
namkumbuka zakia aliipandisha hiyo kitu hadi nikawa napiga ramli kuwakwepa majembe auction mart...Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja. Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja. Nawasilisha.