Road licence Kufutwa

Road licence Kufutwa

Duh,itakuwa poa sana mm gari yangu inadaiwa miaka 2 kama jiwe 5 na ushee.naendeshaga kimagumashi na heshma ya ofc hunilindaga,ila tatizo huwa simuazimi mtu gari hata wife atoki nalo labda niwepo mwenyewe pembeni.
 
Hii Nchi ni Balaa,Arusha wamepiga marufuku Kudrive ukiwa umevaa Kaptula
 
Atambulia penat 287,600 RL kwa saloon sikwambii Lori au daladala.
 
Kitu cha msingi hapa nikujiuliza swali moja kuwa lengo la kodi hiyo nini pamoja na penalt juu?? Somo kidogo kwa mguu wa nchemba kama anausongo na mapato haya abadilishe utaratibu kama zamani tozo hili lilikuwa kwenye mafuta. Ninaamini kodi hii ikithibitiwa vizuri sana kwenye mafuta mapato hayo yataongezeka japo sina takwimu how much do we earn pa?.
Afanye utafiti kidogo tu nchi nzima atajua kuwa kuna magari mengi sana nchini yanatembea hayana R/L hii ikiwa na magari yote ya serikali , magari yote yalipo mashambani na mashine nyingi huko kwenye mashamba ya miwa na kwingineko na hata vijijini huko wengi hawakati rl kwa kuweka hii kodi hapo hakika makusanyo hayo yatakuwa sana maana kila mtambo unaotumia mafuta hayo petrol au diesel watakusanya sana . Faida nyingine ni kuondoa usumbufu kwa wamiliki wa magari na wanaoendesha. Gari inachafuka kioo kwa makaratasi hata mbele co driver hana msaada wowote
 
Nguza na mwanae wamekula mvua za maisha halafu watu hawamjui shori aliyesababisha hilo zali; haya mambo ya ajabu kabisa!! Mbona Vicky kamata anajulikana huyu mwingine iweje asijulikane na watu wameumia vibaya sana?

ni mama mwenyewe
 
Ya kweli haya jamani mbona mm nimelipia road licence 27 July 2014

Hata mimi nina mashaka na taarifa hii! Halafu JF siku hizi watu wanakuja sana na uzi ambao siyo sahihi kwa nini MODS hamulikemei hili?

Yote kwa yote, kama ni kweli ni habari njema.

Off topic: Jamani mafuta yanapanda kila Jumatano ya kwanza ya mwanzo wa mwezi! Kwa miez kama4 mfululizo, Petrol inapanda vibaya! Kwa mfano leo bei ni Tsh2266 tena hapa Dar, hii ni hatari!
 
Hali ni tete mwisho wa siku sisi wabangaizaji tutafungia magari nyumbani na wenye nazo nyingi ndio wataendesha magari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom