Hahaha, i hate you kwa kufanana kwetu. Yaani nilishawahi tumia gari bila vehicle licence miaka 2!
Trafiki hawawezi kosa vyanzo vya mapato....vipo vingi tu kama nut za gurudumu, nyufa kwenye vioo, uchafu wa bodi, ku-expire kwa tairi, na michepukao.....Hapa wanataka kuwafanya Trafiki wawe wabunifu zaidi.Maana hiki ni chanzo kikuu cha mapato ya Trafiki.Sijui watawekeza nguvu zaidi kwenye insurance, au watahamishia majeshi kwenye Fire extinguishers.Duh!
manake the more you buy fuel the more you travel on the road therefore MORE TAX! this is clever!
Kamanda ebu funguka kidogo huyu Nguza alifungwa kwasababu ya SHORI yupi?
Mambo hayo yalianza kipindi kamjamaa kakiwa kawaziri ka nini sijui awamu ile ya mr. clean. Inadaiwa kamjamaa kalipigiwa hawara yake (simjui jina) na baadaye akapigiwa na yule mwanamke aliyeimbwa kwenye wimbo wa papii. Kuanzia hapo muvi likaanza kwa jina la "wamelawiti watoto" lakini nyuma ya pazia inadaiwa muvi lilikuwa na sura tofauti kama ilivyoonekana kwa hadhira.