Road licence Kufutwa

Road licence Kufutwa

Sasa watabebeshwa mzigo wanaonunua mafuta kwa ajiri ya matumiz mengine kama kuendesha mitambo, majenereta

Ni bora tu, nilikuwa siipendi! Hata wakiongeza bei ya mafuta kwa angalau tsh10 tu kwa lita itafidia
 
Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja.

Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja.

Nawasilisha.

Hapa wanataka kuwafanya Trafiki wawe wabunifu zaidi.Maana hiki ni chanzo kikuu cha mapato ya Trafiki.Sijui watawekeza nguvu zaidi kwenye insurance, au watahamishia majeshi kwenye Fire extinguishers.Duh!
 
Wadau wenye magari kuna taarifa kwamba ile fee ya road licence uenda ikafutwa kuanzia tarehe 1 July 2014 na badala yake tutailipia kwenye mafuta moja kwa moja.
Gari langu lilikuwa garage kwa matengenezo na nilitakiwa kulipa kuanzia 20 May 2014 nimeamua kulipaki nyumbani hadi mwezi July 2014 nadandia daladala mtindo mmoja.

Nawasilisha.

Ngongo habari hii ni ya ukweli? Nimeshapataga fununu ila bado sijadhibitisha!

Nani kakuhabarisha Mkuu?
Hebu funguka kidogo angalau!
 
Last edited by a moderator:

haya manyonya damu ya intarahamwe yanavyokusanya hela za bure kwa road license then wafute uku serikali yenyewe imeshafirisika?

napata tabu kidogo kuamini hili ingawa wewe binafsi nakuaminia sana tu.

kama hili jambo litakuwa kweli basi ndio muda muhafaka wa kulipiga bei land rover langu 110 la hunting maana ni takribani miaka 5 sijakata huo ujinga wa road license na mnunuzi ilikuwa shida kumpata maana malimbikizo yamekuwa makubwa.
 
Jana nilikuwa nimekaa mahali na marafiki tunapata kinywaji baada ya kazi ngumu mmoja wa marafiki zangu mfanyakazi wa TRA akatumegea tulipomdadisi zaidi akakataa kufunguka nadhani akupenda tujue mambo ya ndani sana.

Ngongo habari hii ni ya ukweli? Nimeshapataga fununu ila bado sijadhibitisha!

Nani kakuhabarisha Mkuu?
Hebu funguka kidogo angalau!
 
Yaani road licence imaeisha May 2014 unaogopa kuendesha? Aissee wewe ni mzalendo. Yaani kama ni mie hilo naliendesha mbele ya mkuu wa ma trafiki duniani na hanikamati.
hahaha....mimi road licence iliisha tokea 2011 na sina mpango wa kulipia na gari nazunguka nayo karibia tanzania nzima
 
hahaha....mimi road licence iliisha tokea 2011 na sina mpango wa kulipia na gari nazunguka nayo karibia tanzania nzima

Private cars zoote za.police. wanajeshi. usalama wa taifa na wahuni wahuni wakubwa serikalini hazina road licence. Wakileta hii sheria mbona itakua poa sana. Tuone kama hawa wahuni watapunguziwa bei ya petroli. Yaani haka ka nji kajitu kakipata kanafasi kaupenyo kiduchu anataka akojoe akiwa amekaa.
 
Mkuu Rural Swagga inategemea na logistics ya mahali unapoishi na unapopiga mzigo.Mimi nakaa Njiro ukifika maeneo ya reli mkabala na General tyre asubuhi unakutana na rundo la matraffic wasiopungua watano ukikatiza barabara ya mabwa ya majitaka kabla haujafika fire unakutana nao niambie unakwepa kwepaje ?.

Ukweli mtupu..mara chache sana askari wa usalama barabarani hunikamata labda kwa mwaka mara 3 na huwa sitoi zaidi ya 5000 hivyo basi road licence yangu kwa mwaka ni 15000..Tanzania nakupenda nchi yangu Maarufuuu
 
sijaona logic zaidi ya kuibiwa
ina maana v8 itatofautina kidogo sana na vitz sasa akili matope??
hakika nitatumia mbinu zote na mm nipewe mafuta ya bure hapo makumbusho.
 
Mkuu Rural Swagga inategemea na logistics ya mahali unapoishi na unapopiga mzigo.Mimi nakaa Njiro ukifika maeneo ya reli mkabala na General tyre asubuhi unakutana na rundo la matraffic wasiopungua watano ukikatiza barabara ya mabwa ya majitaka kabla haujafika fire unakutana nao niambie unakwepa kwepaje ?.
Mmmmmh !nakubaliana na wewe sasa hapo huna jinsi zaidi ya kujenga nao urafiki ili wasikufanye ATM.Mimi huwa nakamatwa na kutoa rushwa hata mara 3 kwa mwaka na sitoi zaidi ya 5000 kwa dar...kwa mikoani sipandi zaidi ya 2000.Mara ya mwisho nimekamatwa Igunga nikitokea Mwanza kuja Dsm nikashuka na pakti na sigara sports nimeikunja vizuri wakajua noti ya 10000 wana boxi lao wameweka chini ya mti wanakwambia urushe humo...
 
hii inamaana kuwa kila mtanzania atalipa road licence hata kana hana gari kwa kuwa kupanda kwa garama za mafuta mlaji wa mwisho atasukumiziwa zigo hili!

kwa wale pia waliolipia road licence mwezi huu watakuwa wamelipa mara mbili come next year July!

this is crazy if not clever
 
picchu naona kama kuna point hapo. Gari iko garage na unaokoteza mchuzi 2yrs hapo hapo na hii road license wapi na wapi? Waanzishe na garage license basiiii

In UK sheria ni kuwa kama hutumii gari barabarani na ipo garage unawajulisha DVLA kuwa hutatumia gari lako aidha ni bovu au hutaki kuendesha na unasamehewa kulipia kwani road tax unalipia kama unatumia gari hilo barabarani simple. Lakini huku nashangaa sheria zimetungwa na muingereza halafu zinachakachuliwa tena kama katiba
 
Last edited by a moderator:
Sasa wasijekufidia kwenye mafuta kwa kukomoa kabisa
 
Ngongo wewe kilaza sasa TRA tokalini akawa barabarani?Traf ndio kazi yake kosa lolote kuhusu gari go to school bwamdogo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Serikali hii hainihamasishi kabisa kuwalipa chochote, kile nacholipa jua tu basi tu. Wah.uni mno, labda niajiriwe serikalini ndio ntalipa.

hahaha....mimi road licence iliisha tokea 2011 na sina mpango wa kulipia na gari nazunguka nayo karibia tanzania nzima
 
mie gari sina, hata sijui mnamaanisha nini RL..
Anyway hongereni wenye magari yenu...hata kama hujamaliza kukatwa mkopo wake hongera hivyo hivyo kwa kuwa inaongeza heshima mtaani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom