Hapasasa ndo nimekuwa tagged.
Hivi mnauhakika lkn Mondray !!
Nini kilikuwa kinamsumbua??jmn mwenye taarifa kamili mi sikuelewi hapa kwakweli
Soma post za nyuma utaona tatizo nn, pia angalia status yake mods wamebadili kutoka kwenye Jf Expert member to RIP.Hivi mnauhakika lkn Mondray !!
Nini kilikuwa kinamsumbua??jmn mwenye taarifa kamili mi sikuelewi hapa kwakweli
Kaka kama ni kisiwani ya kigamboni pliz ni PM namba yako japo nikaage. Daaah huyu jamaa ukiangalia alichoandika jana kwenye fb ni kama alikuwa anaaga. Alikuwa ni nabii wa kifo chake. Ni watu wachache sana ambao mungu anawabariki maono hayo. Ee Mungu naomba umpe pumziko la kheri mwa JF mwenzetu. Ingekuwa vizuri jamii yetu ya JF tungemfanyia kitu kumsindikiza ndugu yetu.Mem nimeongea nae akiwa anatoka hospital na akaniakikishia yuko pouwa na amegundulika ana pumu nkakbaliana nikitoka job nitpta Kwak saa mbili napokea taarifa nampgia cm inpkelwa mdog wake wa kiume ananiambia mweny cm amfaliki. Nikatoka hadi kwa dada yake karibu na hospital ya kic1 ni kweli ibu amefariki na msiba upo kisiwani ila wanategemea kusafrisha kwnda tanga. Tutaendelea kufahamishana
Nimeikuta kwenye wall Yake ya Facebook
Ahsante Mwenyezi Mungu Kwa Uhueni Huu nilioupata siku ya Leo. Wakati nipo kwenye pikipiki nikielekea Hospitali leo asubuhi sikujua kama Ningefika hata temeke. Nilikuwa nimekata pumzi juu ya pikipiki mpaka kupewa msaada wa kusaidiwa na mtu. Mungu ulinipa nguvu ya kufika hospitali ambayo kaka yangu Dk Masimba ndipo kilipo kituo chake cha kazi.
Wakati nainua simu kumpigia kaka yangu leo asubuhi nilimwambia kinaga ubaga kuwa naumwa sana na sidhani kama ningefikisha Jioni hii. Nilishindwa kuoga maji bafuni nikabaki kukaa nikimuomba Mungu Aniepushie Hili Tatizo. Baada ya kumpigia kaka yangu Akaniomba nifike hospitali kwa Gharama yoyote. Nilichukua pikipiki nikiwa sina hata kumbukumbu ya Dunia hii. Nilikuwa Dunia ya kifo. Niliwakumbuka wanangu Yasser na France Machozi yakanitoka. Niliona nawaacha katika mazingira Magumu sana. Nililia na kulia. Nilimkumbuka mama yangu Mzazi Na hata baba yangu. Nikainua mikono na kumwambia Mungu Watazame watu hawa kisha nizame na mimi. Huku machozi ya kinitoka nikamkumbuka mke wangu Mtarajiwa. Nikamkumbuka mtoto wa watu anavyonipenda. Nikajiuliza Ataipokeaje Taarifa ya Kifo changu? Atapokeaje Kifo changu? Nikamwambia Mungu Mwangalie mtoto huyu.
Nilipofika Hospitalini ingawa kaka hakuwepo, lakini nilipokewa kama mtu maalum. Nikafanywa kama mgonjwa wa Dharura. Nikahudumiwa kwa kunyenyekewa. Nilichomwa sindano tatu tofauti kwenye mshipa mkubwa. Huku nikipewa maneno ya kufariji. Manesi na madaktari wakawa sambamba nami. Ndani ya Dakika saba hali yangu ikaanza kutengemeaa. Nikawa napiga story na manesi kwa uzuri. Ahsante kwa Allah kwa kulifanya hili. Ahsante kwa Madaktari na Manesi wa Malawi hospitali. Kwanza ni Kwa dada Mariam.. Dk Lunyungu na Dada Saraphina. Ulinidekeza na kunifariji kanakwamba ulinifahamu Kabla.
NASEMA AHSANTENI SANA NA MUNGU AWA BARIKI
Swali ni je hawa aliowaandika hapa wamepokeaje kifo chake? Its pain enoughNimeikuta kwenye wall Yake ya Facebook

So sad EdoNimeikuta kwenye wall Yake ya Facebook

Soma
Soma post za nyuma utaona tatizo nn, pia angalia status yake mods wamebadili kutoka kwenye Jf Expert member to RIP.
Tatizo pumu kama sijakosea..
Mungu alimpa nafasi ya kuaga!!!Daaah. Alikuwa kama anaaga kabisa

Pumzika kwa Amani broficha upumbavu wakoKuna thread aliweka humu kitambo kidogo akiomba ushauri kwamba ammpenda changudoa na ameshindwa kumuacha! Dah sijui ngoma ndo imemuuwa. R.I.P