Riwaya: Nitakupata tu

Riwaya: Nitakupata tu

1e61b6619759d7effe60618fb203f9fa.jpg
 
Nimeikuta kwenye wall Yake ya Facebook

Ahsante Mwenyezi Mungu Kwa Uhueni Huu nilioupata siku ya Leo. Wakati nipo kwenye pikipiki nikielekea Hospitali leo asubuhi sikujua kama Ningefika hata temeke. Nilikuwa nimekata pumzi juu ya pikipiki mpaka kupewa msaada wa kusaidiwa na mtu. Mungu ulinipa nguvu ya kufika hospitali ambayo kaka yangu Dk Masimba ndipo kilipo kituo chake cha kazi.

Wakati nainua simu kumpigia kaka yangu leo asubuhi nilimwambia kinaga ubaga kuwa naumwa sana na sidhani kama ningefikisha Jioni hii. Nilishindwa kuoga maji bafuni nikabaki kukaa nikimuomba Mungu Aniepushie Hili Tatizo. Baada ya kumpigia kaka yangu Akaniomba nifike hospitali kwa Gharama yoyote. Nilichukua pikipiki nikiwa sina hata kumbukumbu ya Dunia hii. Nilikuwa Dunia ya kifo. Niliwakumbuka wanangu Yasser na France Machozi yakanitoka. Niliona nawaacha katika mazingira Magumu sana. Nililia na kulia. Nilimkumbuka mama yangu Mzazi Na hata baba yangu. Nikainua mikono na kumwambia Mungu Watazame watu hawa kisha nizame na mimi. Huku machozi ya kinitoka nikamkumbuka mke wangu Mtarajiwa. Nikamkumbuka mtoto wa watu anavyonipenda. Nikajiuliza Ataipokeaje Taarifa ya Kifo changu? Atapokeaje Kifo changu? Nikamwambia Mungu Mwangalie mtoto huyu.

Nilipofika Hospitalini ingawa kaka hakuwepo, lakini nilipokewa kama mtu maalum. Nikafanywa kama mgonjwa wa Dharura. Nikahudumiwa kwa kunyenyekewa. Nilichomwa sindano tatu tofauti kwenye mshipa mkubwa. Huku nikipewa maneno ya kufariji. Manesi na madaktari wakawa sambamba nami. Ndani ya Dakika saba hali yangu ikaanza kutengemeaa. Nikawa napiga story na manesi kwa uzuri. Ahsante kwa Allah kwa kulifanya hili. Ahsante kwa Madaktari na Manesi wa Malawi hospitali. Kwanza ni Kwa dada Mariam.. Dk Lunyungu na Dada Saraphina. Ulinidekeza na kunifariji kanakwamba ulinifahamu Kabla.

NASEMA AHSANTENI SANA NA MUNGU AWA BARIKI
 
Mem nimeongea nae akiwa anatoka hospital na akaniakikishia yuko pouwa na amegundulika ana pumu nkakbaliana nikitoka job nitpta Kwak saa mbili napokea taarifa nampgia cm inpkelwa mdog wake wa kiume ananiambia mweny cm amfaliki. Nikatoka hadi kwa dada yake karibu na hospital ya kic1 ni kweli ibu amefariki na msiba upo kisiwani ila wanategemea kusafrisha kwnda tanga. Tutaendelea kufahamishana
 
Mem nimeongea nae akiwa anatoka hospital na akaniakikishia yuko pouwa na amegundulika ana pumu nkakbaliana nikitoka job nitpta Kwak saa mbili napokea taarifa nampgia cm inpkelwa mdog wake wa kiume ananiambia mweny cm amfaliki. Nikatoka hadi kwa dada yake karibu na hospital ya kic1 ni kweli ibu amefariki na msiba upo kisiwani ila wanategemea kusafrisha kwnda tanga. Tutaendelea kufahamishana
Yesu wangu wangu jamani
 
Tangu jana nilitaka kuandika jambo hapa lakini nikasita niliona naweza kwaza wengi lakini kwa taarifa hii ngoja ninyamaze kwanza mpaka hii habari iwe Veryfide kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom