Riwaya: Nitakupata tu

Riwaya: Nitakupata tu

Yaani mwili umenisisimkaa naona kama xjui sio kweli au yaani kila cku anajibu tukimpa pole jamani mhhhh mungu amfutie dhambi zake zote hatuna budi kushukuru tu bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lidhukuriwe amen
 
HAFU NYIE MASWALA YA KUZUSHIANA VIFO HII HAPANA

MBONA MOYO WANGU KAMA UNALIKATAA HILI SUALA??

EMBU MTOA MAADA UKUJE HAPA UNIELEZEE VIZURI
 
Screenshot_20170705-173540.png

Nimeikuta Fb mm hata siamini bado juzi tu IBRA alikuwa mzima hapana jamani
 
Ivi nyie mnaosema R.I.P mnaukwel na hili jambo??hyo alosema tuingie fb nmesach hyo jina akuna kit yoyotee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom