Riwaya: Nitakupata tu

RIP ndugu yetu uliekua unatufanya kila wakati tupunguze mawazo japo kukaa kutulia nakusoma riwaya ambayo ni nzuri kupitiliza japo haijaisha ila tunakuombea kwa mungu akupunguzie adhabu maana ulitufanya wengi wenye majonzi tufarijike , nenda kwa amani br. Nilikua siamini kbs lkn sasa daaaaaah basi
 
Mimi nina wasiwasi kidogo na hii kwani Ibra si alikuwa Mwislamu na mtu aliyeweka picha ya Facebook anatuonyesha jeneza (???????????) all in all "Heri wafu wafao katika jina la Bwana wapate kupumzika baada ya taabu zao kwa kuwa matendo yao yafutana nao"
 
Aisee rafiki, amesafirishwa kutoka Dar kwenda Tanga, kwa hy ni lazima ahifadhiwe kwenye jeneza kwa ajili ya kusafirishwa.
 
Jamani ndio kwanza naona leo. RIP mdogo wangu.nilivyokuwa bongo mwezi wa 4 niliongea nae Mara mbali tatu na nikampa moyo katika utunzi wake.binaadamu mbele yake nyuma yetu
 
Life is too short aisee
Innallilah wainnaillah rajiun

Mwenyez mungu ampunguzie adhabu ya kabur na mjaalie awe miongoni mwa watu wa pepon
 
Ningeweza kuufuta uzi huu ningeshukuru maana kadri ninavyo uona machozi hayaishi, anyway kazi ya Mola haina Makosa! Ted, kwanini umemuua Veronika "nisauti ya Masimba aliye kuwa akiongea huku akiwa amemnyoshea bastola Ted ambaye alipatwa na mshtuko wa ghafla kiasi akashindwa kujuzia nakujikuta akianguka chini kama gunia la mchanga puuuuuuu!
Mara Mwanaharamu aliyekuwa ameteki kava kumlinda Masimba akajisogeza na Kumnung'oneza Masimba sikioni ... Itaendelea
 
Uchungu Sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom