Daah yaan ngoja nifanye safar ya Kariakoo fastàànjama, kikomo na kikosi cha kisasi vipo Kariakoo kwa wauzaji magazeti. Tena kikosi cha kisasi kimetoka leo saa 2 asbh
Ni nitumie namba yako mkuu kuhusu hivyo vitabu vya Musiba, kama una voda itakuwa vyema zaidi.mwenye kitabu cha kufa na kupona anichek pm Mimi nimpe cha UCHU. Uchu nacho musiba amevunja hatari
Tusiteseke sana Ndugu zangu, hii riwaya imetoka Leo ktk hardcopy( kitabu) sh 10,000. Kipo kariakoo kwa wauza magazeti
Kaka sio matani aiseee, nimekipata bhanaaaaa.Anakudanganya huyo, kk huwezi pata Kariakoo. Kitabu kinachopatikana ni njama ndio kimejaa kibao
Asante kaka nimekukubali kinyama. Hatimaye nimekipata.njama, kikomo na kikosi cha kisasi vipo Kariakoo kwa wauzaji magazeti. Tena kikosi cha kisasi kimetoka leo saa 2 asbh
Kariakoo kubwa Mkuu, eleza jinsi ya kufika hapo wanapouzaAsante kaka nimekukubali kinyama. Hatimaye nimekipata.View attachment 529988
Naomba utapothibitisha kipo urudi useme pia.Anakudanganya huyo, kk huwezi pata Kariakoo. Kitabu kinachopatikana ni njama ndio kimejaa kibao
Asante kwa kuniamini kaka. Sijawah danganya humuKaka sio matani aiseee, nimekipata bhanaaaaa.
Kariakoo sehem gani?KIKOSI CHA KISASI KIMETOKA LEO.NIMEJIPATIA TAYARI COPY YANGU HAPA KKOO
Kariakoo mtaa gani aisee? Nakitafuta sana MimiKaka sio matani aiseee, nimekipata bhanaaaaa.
Nilipanda Mwendokasi nikashukia pale Msimbazi A pembeni tu meza ya kwanza ya magazeti na vitabu kwenda kuuliza tu jamaa anacho .... fasta nikatoa buku 10 halafu nikaingia hapo hapo Kituo cja Mwendokasi cha Msimbazi A nikarudi zangu nilipotoka. Yaaani kitendo cha sekunde 2 kama Willy Gamba.Kariakoo kubwa Mkuu, eleza jinsi ya kufika hapo wanapouza
Mtaa wa Msimbazi tu hapo hapo angalia meza za magazeti .. hapo karibu tu na kituo cha Mwendokasi.Kariakoo sehem gani?
Fika kongo au mtaa wa msimbaz(jengo la simba) kama unaenda gerezan kwa wauza magazet na riwaya.Kariakoo mtaa gani aisee? Nakitafuta sana Mimi
Msimbazi hadi Gerezani kwenye meza za wauza magazeti.Kimetoka leo.Kariakoo sehem gani?