Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Tumepigwa dafrau
Daah penye utamu ndiyo wamekata
is this a market strategy?
Wapi niende kununua hiki?
 
Nasikitika kila nikichungulia sikuti mwendelezo. ...duuuu inauma maana Tete alikwishaingia mwenyewe kwenye 18 za Willy Gamba ilibaki kushuhudia ni jinsi gani Willy anavunja mifupa...
 
Tusiteseke sana Ndugu zangu, hii riwaya imetoka Leo ktk hardcopy( kitabu) sh 10,000. Kipo kariakoo kwa wauza magazeti
 
Naona ni mgongano wa kazi yamkini eddy aliamua kumuachia kibajaji maana aliingilia uzi wake!
 
Basi na mi siendelei nisijiletee matatizo bora mtafute kitabu wapendwa..maana sukujua kama ni maalum nilijua ni burudani...
 
Tusiteseke sana Ndugu zangu, hii riwaya imetoka Leo ktk hardcopy( kitabu) sh 10,000. Kipo kariakoo kwa wauza magazeti
Kweli mkuu?? Manake ni jana tu nikipita Samora nikakuta Kikomo na Njama tu. Nikaambiwa kikosi cha kisasi mpaka wiki 2 zijazo. Daaah kama kweli sijui niende Kariakoo saa hiziii au??
 
Basi na mi siendelei nisijiletee matatizo bora mtafute kitabu wapendwa..maana sukujua kama ni maalum nilijua ni burudani...

Sio maalumu bhana., watu wanatoa mawazo yao tu. Ukweli ni kwamba hii stori inatoka muungwana blog ambayo na yenyewe haijaendelea imeishia walipofika wa pia, huko ndo walikukokua wanachukua bila shaka., Wew kama una kitabu Mkuu si vibaya ukaendeleza....!!
 
Kweli mkuu?? Manake ni jana tu nikipita Samora nikakuta Kikomo na Njama tu. Nikaambiwa kikosi cha kisasi mpaka wiki 2 zijazo. Daaah kama kweli sijui niende Kariakoo saa hiziii au??
Kweli kaka kitabu kipo
 
Back
Top Bottom