Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,621
Nunueni vitabu jaman mkitegemea humu ndani mtaumia maana unakuta nafasi ya kupost hakuna.
Nunueni vitabu jaman mkitegemea humu ndani mtaumia maana unakuta nafasi ya kupost hakuna.
Sehemu gani kariakoo?Kaka sio matani aiseee, nimekipata bhanaaaaa.
Nikuwanyima mapato wamiliki jaman kanunueni tu..nilianza kuandika ila nilipoona vimetoka nikaacha maana itakuwa sio uungwana jaman.Aliyenacho aendeleze
Tumosa vp tena mikono kwa kichwa.
Ahsante kakaNitamalizia wandugu nimerudi
PamojaAhsante kaka