Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Waandishi wengi wa humu JF huwa wanaachia story njiani, sijui kwanini?
 
Kama nilivyohisi kifo cha mpelelezi, vivyo hivyo hisia zangu ziliniambia kuwa hii riwaya ni ngumu kumaliziwa kwa wakati..
 
VII

ILikuwa saa kumi na nusu Ozu alipowasili nyumbani kwa Robert.Alipoingia aliwakuta Willy,Robert, na msichana mmoja mzuri sana ambaye alitambua kuwa atakuwa ni Tete.Alimwangalia Willy na Robert machozi yalianza kumtoka tena,mara moja Willy na Robert wakatambua kuwa Kofi ameuawa.Robert alikimbia akaweka whiski ndani ya glasi akampa Ozu ambaye alikuwa bado machozi yanammiminika.''Tueleze imetokea vipi."Willy alimwambia.Ozu alikunywa glasi yote ya whiski mara moja ,halafu akawaeleza ilivyotokea.Kofi amekufa mbele ya macho yangu mimi ninaona hivi hivi,watu hawa ni wanyama watakufa kwa mkono wangu.Mungu unisaidie,"Ozu alimalizia machozi yakaanza kumtoka tena.
Willy alitambua uchungu Ozu aliokuwa nao akamwambia,"Ozu hata sisi jambo hili limetushtua sana,sasa lilipo ni kutulia na kupanga jinsi ya kupambana na watu hawa,"Willy alieleza taratibu.Tete aliyekuwa amekaa pembeni kidogo alimwangalia Ozu na ghafla naye akaanza kulia.Jambo hili lilimshtua Ozu na kumfanya atulie na kuelekea maliwatoni."Mimi sasa namchukia Muteba na wenzake kiasi ambacho sijawahi kumchukia mtu maishani mwangu.Tokea sasa mimi nitachukua nafasi ya Kofi,"Tete alieleza bila kutania."kazi hiyo haikufai mama,kazi uliyokwishafanya inatosha kabisa,"Willy alimjibu.
"Mimi najua kitu nitakachowasaidieni.Mimi ni dereva stadi sana sijui kama kati yenu kuna dereva kama mimi.Tafadhali sana msiniache mtakapoenda kwenye mapambano ya leo.Tafadhali naomba mniridhishe nafsi yangu.Kule kuwaendesha tu nitajiona nimelipa deni kubwa kwa Mwadi,maana ni mimi niliyefanya akina Muteba wamfahamu.Hivyo Willy mpenzi usiniache,"Tete aliomba akaanza kulia tena.Tutafikiria Tete,ngoja Ozu arudi ili tuzungumze mipango yote ya leo,"Robert alieleza.
 
Thanx mkuu kutukumbuka
 
Asante mkuu ujue me nimeshasahau hata ilipoishia kibajaji ukuje jamaan au makinikia yamekusomba
 
Mkuu Johnson ahsante sana,tafadhari upatapo nafasi tupia mdogomdogo
 
Back
Top Bottom