Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Riwaya: Kikosi cha Kisasi

55872560f708ba87f4df36c0a0611b92.jpg
 
Wanan,finyango,johape,shubalozimchovunie,kibuyu180,tumosa shamac matukutuku, bess,ngoma ya ukae,
Ha ha ha haaa asante, mi bado sijaanza kukisoma nitaanza kesho nikituliaaaaa. Leo kidogo namalizia malizia kusubiria mwezi hukuuuuuu ....
 
Aisee, ongeza picha hizo Mkuu maana hapo hakuna kuchapa, unafanya vizuri ukimaliza page zote kabisa.
 
Jamani naomba mnijuze, niliwahi kuambiwa na Jama mmoja kule Arusha" Eti mtunzi wa Hizi liwaya, kikomo, njama, kikosi cha kisasi. Hakua mwana usalama Bali alifanya kazi ujenzi, kabla hawajanzisha Tan road na TBA,Tanzania biuding agency. Mwenye. Ukweli huu a niambie kwafaida ya wengi.
 
Mtunzi wa hizo riwaya alikuwa na CPA ya uhasibu
 
Jamani naomba mnijuze, niliwahi kuambiwa na Jama mmoja kule Arusha" Eti mtunzi wa Hizi liwaya, kikomo, njama, kikosi cha kisasi. Hakua mwana usalama Bali alifanya kazi ujenzi, kabla hawajanzisha Tan road na TBA,Tanzania biuding agency. Mwenye. Ukweli huu a niambie kwafaida ya wengi.
Mpaka anafariki nadhani alikuwa MWENYEKITI wa Tanzania Chamber of Commerce
 
Back
Top Bottom