Riwaya: Kikosi cha Kisasi

njama, kikomo na kikosi cha kisasi vipo Kariakoo kwa wauzaji magazeti. Tena kikosi cha kisasi kimetoka leo saa 2 asbh
 
mwenye kitabu cha kufa na kupona anichek pm Mimi nimpe cha UCHU. Uchu nacho musiba amevunja hatari
 
Anakudanganya huyo, kk huwezi pata Kariakoo. Kitabu kinachopatikana ni njama ndio kimejaa kibao
Kaka sio matani aiseee, nimekipata bhanaaaaa.
 

Attachments

  • 20170624_162935.jpg
    20170624_162935.jpg
    48.4 KB · Views: 203
Kariakoo kubwa Mkuu, eleza jinsi ya kufika hapo wanapouza
Nilipanda Mwendokasi nikashukia pale Msimbazi A pembeni tu meza ya kwanza ya magazeti na vitabu kwenda kuuliza tu jamaa anacho .... fasta nikatoa buku 10 halafu nikaingia hapo hapo Kituo cja Mwendokasi cha Msimbazi A nikarudi zangu nilipotoka. Yaaani kitendo cha sekunde 2 kama Willy Gamba.
 
Back
Top Bottom