Riwaya: Kikosi cha Kisasi


Prince Dos Santos

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Messages
1,092
Likes
935
Points
280
Age
25
Prince Dos Santos

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2016
1,092 935 280
Bonge la riwaya
 
Jumakambuki

Jumakambuki

Member
Joined
Mar 22, 2014
Messages
18
Likes
1
Points
5
Age
33
Jumakambuki

Jumakambuki

Member
Joined Mar 22, 2014
18 1 5
Walikuwapo pia kina Hammie Rajab na vitabu vyake kama Sanda ya jambazi na Kamlete akibisha mripue.Kulikuwa na Simbamwene na vitabu vyake mauaji lodging,muuaji ni nani?,Pesa zako zinanuka.Huyu ndiye mwandishi aliyetunga riwaya nyingi sana hapa Tanzania.Hata baba yake Banana,Zahir Ali Zorro naye aliandika riwaya mbili kali Unyama wa mafia part 1&2 na Kabwe makanika.Enzi hizo kuna watu mitaani walijiita Willy Gamba,Inspector Forg,Kachelo Haji,Joram Kiango,Suresh Kanji,Elungata,Baruni mwasi,Mzee Ole nk.Yaani ilikuwa raha sana.
Dah nimekumbuka mbali sana nilikua darasa la tatu kuna inspector wingo Mwana mtama inspector ojiti ojoko wa Kenya na ageshi mwamba kama jambazi sugu
 

Forum statistics

Threads 1,238,951
Members 476,289
Posts 29,337,788