Mkuu Nameless ungetupia basi watu wajipooze na machungu ya kuporwa ushindi kwenye chaguzi za serikali za mitaa!
Utasubiri saana kanunue kitabuleta mwendelezo
Lini tena da Neema! Kwanza nafurahi kwamba Mzee Mtobwa alipata mtoto aliyependa kazi yake na ndiyo maana hadi leo mzee anaishi kwenye fikra za wapenda Fasihi andishi!Nitarudi kumalizia wapenzi, ni changamoto tu za kawaida zinazonifanya nisiwe na uwezo wa kutuma mapema. Tuvumiliane tafadhali.
Naash Nash
Kama nilovyosema kanunueni vitabu
MPO AU MMESUSA?
HAHAHAHAAA MKUU I PROMISE NIMERUDI, VERY SOON UTAISOMA YOTE, WEKA BANDO LA KUTOSHA. NIKIKUDANGANYA LEO UJUE SIWEZI KULETA TENA.
Usilale... tunaendeleaaaaaaa