Vitabu vya aliyekuwa mwandishi mashuhuri marehemu Ben R. Mtobwa

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,664
Habari?

Ninaomba nichukue fursa hii kuwatangazia wale wote waliokua wanatafuta vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwa sasa vinapatikana tena.

Orodha ya vitabu hivyo ni kama ifuatavyo;

1. Kiguu na njia 15,000
2. Zawadi ya Ushindi 10,000
3. Pesa Zako Zinanuka 10,000
4. Dar es Salaam Usiku 10,000
5. Kimbia Helena Kimbia 5,000
6. Roho ya paka 10,000
7. Tutarudi na Roho Zetu? 10,000
8. Salamu Toka Kuzimu 10,000
9. Malaika wa Shetani 10,000
10. Mikataba ya Kishetani 10,000
11. Mtambo wa Mauti 10,000
12. Najisikia Kuua Tena 10,000
13. Mikononi mwa Nunda 10,000
14. Lazima Ufe Joram 10,000
15. Nyuma ya mapazia
16. Dimbwi la damu

Kwa sasa vitabu hivi vinapatikana Posta mpya karibu na sanamu la askari.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa namba 0763044459 au 0712504985.

Karibuni saaaaaana.
 
Nataka janga sugu la wazawa ntapata mwandishi nimemsahau
 
Willy Gamba kinaitwa kufa na kupona. Elvis Musiba
Vipo vingi Tu Willy Gamba alikua anatumiwa na Elvis Musiba kama sterling wa riwaya zake... Mfano wa vitabu vingine vyenye Willy Gamba ni kama vile

Njama
Kikosi cha kisasi
Uchu
Hofu na
Kikomo (hiki ndo nilikipenda zaidi kuna jambazi linaitwa Elungata Ebwana eeh! Ni balaa)
 
Good to see you….. Nakumbuka niliwahi wasiliana na the wewe kipindi bado nasoma miaka hiyo.

Nina vitabu vitano hadi sasa i hope by mwakani nitakuwa nimenunua vyote.
 
Habari?

Ninaomba nichukue fursa hii kuwatangazia wale wote waliokua wanatafuta vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwa sasa vinapatikana tena.

Orodha ya vitabu hivyo ni kama ifuatavyo;

1. Kiguu na njia 15,000
2. Zawadi ya Ushindi 10,000
3. Pesa Zako Zinanuka 10,000
4. Dar es Salaam Usiku 10,000
5. Kimbia Helena Kimbia 5,000
6. Roho ya paka 10,000
7. Tutarudi na Roho Zetu? 10,000
8. Salamu Toka Kuzimu 10,000
9. Malaika wa Shetani 10,000
10. Mikataba ya Kishetani 10,000
11. Mtambo wa Mauti 10,000
12. Najisikia Kuua Tena 10,000
13. Mikononi mwa Nunda 10,000
14. Lazima Ufe Joram 10,000
15. Nyuma ya mapazia
16. Dimbwi la damu

Kwa sasa vitabu hivi vinapatikana Posta mpya karibu na sanamu la askari.

Kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa namba 0763044459 au 0712504985.

Karibuni saaaaaana.
Nikitaka vyote Kwa maana ya Kila chapisho sh ngapi weka bei
 
Soft copy vip
Nenda kwenye uzi huu, comment #1,157 soft copies zote za Mtobwa utazikuta.....

Screenshot_20230811_061123_Chrome.jpg

Vipo vingi Tu Willy Gamba alikua anatumiwa na Elvis Musiba kama sterling wa riwaya zake... Mfano wa vitabu vingine vyenye Willy Gamba ni kama vile

Njama
Kikosi cha kisasi
Uchu
Hofu na
Kikomo (hiki ndo nilikipenda zaidi kuna jambazi linaitwa Elungata Ebwana eeh! Ni balaa)
Nenda kwenye link hii vitabu vyote vya Musiba utavikuta...Comment # 911

Screenshot_20230811_062634_Chrome.jpg

Similar Discussions

Back
Top Bottom