Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,102
Wewe ni mParis mkuu moneytalk?hii nimeipenda kwasababu nimepata historia yetu wapare japo kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mParis mkuu moneytalk?hii nimeipenda kwasababu nimepata historia yetu wapare japo kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije tu kutulisha ugali na picha ya Samaki wa Bwawa la nyumba ya Mungu😂😂😂
Usije tu kutulisha ugali na picha ya Samaki wa Bwawa la nyumba ya Mungu![]()






Ndio zenu mbona! Sasa unashangaa nini?
Duuh! Kimoja tu chali Sister? Na umetususa kweli kweli.
Mbona ipo NusuSURA YA KUMI NA TISA
Pembe Za Faru
Wanasema ‘za mwizi arobaini’. Sisi hatukuzihitaji arobaini hizo. Siku ya tatu tu, toka tulipoanza shughuli hizo, ilitosha kabisa kututia hatiani.