Risasi yangu ya mwisho

πŸ™πŸ™πŸ™
WAKUU MNIWIE RADHI.
Pengine hii sehemu ya mwisho nikaiposti leo usiku sana au kesho mchana, mambo leo yameniwia mengi sana.

Ninacho fanya kwenye kuandika hivi visa ni kwamba sehemu ninayotaka kuipost leo naandika leo leo.

Nilijaribu kuandika vipande vingi ili niwe napost tu ila nilishindwa maana huwa siwi na msukumo wa kuandika.

Ila nikiandika sehemu moja na kuipost najikuta namaliza story fasta maana muda wote najihisi nina deni.
Nelly
Smooth Criminal
Harmful
Na wengine wote.

Nikimaliza hii nitawaletea kisa kilicho nitokea mwaka jana tu hapo.

Mshangazi ambae amechumbiwa na kutolewa mahali, nilituma maombi ya kazi akakubali Tajiri nikawa najiachia kwao bila kujua kinachoendelea.
 
Hili limeniumiza sana awamu hii imeniliza
 
Mabaya yako yote wapewe G55 Wewe huna changamoto kabisa TajiriiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jitahidi upost usiku sana, halafu kesho tuanze hiyo ya mshangazi, sema huna baya tajiri. Nimefurahi kusikia Unatupa bonus story ya mshangazi. Tupo pamoja mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…