Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,364
- 2,347
Tajiri tunasubiri bomu lilipuke, njoo umalizie.
unataka uanze kuwa na baya?
unataka uanze kuwa na baya?
Secretary amesahau kumkumbusha tajiri ratiba yake ya leoTajiri tunasubiri bomu lilipuke, njoo umalizie.
unataka uanze kuwa na baya?
Hili limeniumiza sana awamu hii imeniliza🙏🙏🙏
WAKUU MNIWIE RADHI.
Pengine hii sehemu ya mwisho nikaiposti leo usiku sana au kesho mchana, mambo leo yameniwia mengi sana.
Ninacho fanya kwenye kuandika hivi visa ni kwamba sehemu ninayotaka kuipost leo naandika leo leo.
Nilijaribu kuandika vipande vingi ili niwe napost tu ila nilishindwa maana huwa siwi na msukumo wa kuandika.
Ila nikiandika sehemu moja na kuipost najikuta namaliza story fasta maana muda ote najihisi nina deni.
Nelly
Smooth Criminal
Harmful
Na wengine wote.
Nikimaliza hii nitawaletea kisa kilicho nitokea mwaka jana tu hapo.
Mshangazi ambae amechumbiwa na kutolewa posa nilituma maombi ya kazi akakubali Tajiri nikawa najiachia kwao bila kujua kinachoendelea.
Mabaya yako yote wapewe G55 Wewe huna changamoto kabisa Tajiriii😂😂😂🙏🙏🙏
WAKUU MNIWIE RADHI.
Pengine hii sehemu ya mwisho nikaiposti leo usiku sana au kesho mchana, mambo leo yameniwia mengi sana.
Ninacho fanya kwenye kuandika hivi visa ni kwamba sehemu ninayotaka kuipost leo naandika leo leo.
Nilijaribu kuandika vipande vingi ili niwe napost tu ila nilishindwa maana huwa siwi na msukumo wa kuandika.
Ila nikiandika sehemu moja na kuipost najikuta namaliza story fasta maana muda wote najihisi nina deni.
Nelly
Smooth Criminal
Harmful
Na wengine wote.
Nikimaliza hii nitawaletea kisa kilicho nitokea mwaka jana tu hapo.
Mshangazi ambae amechumbiwa na kutolewa posa nilituma maombi ya kazi akakubali Tajiri nikawa najiachia kwao bila kujua kinachoendelea.
🤣🤣🤣🤣🤣Hili limeniumiza sana awamu hii imeniliza
🤣🤣🤣 sawa mkuu, acha nipotee hapa kwa muda ili nizame chimbo.Mabaya yako yote wapewe G55 Wewe huna changamoto kabisa Tajiriii😂😂😂
Mabaya yake hayakupanda kwenye safina ya nuhu yalisombwa na gharika😂Mabaya yako yote wapewe G55 Wewe huna changamoto kabisa Tajiriii😂😂😂
Jitahidi upost usiku sana, halafu kesho tuanze hiyo ya mshangazi, sema huna baya tajiri. Nimefurahi kusikia Unatupa bonus story ya mshangazi. Tupo pamoja mkuu🙏🙏🙏
WAKUU MNIWIE RADHI.
Pengine hii sehemu ya mwisho nikaiposti leo usiku sana au kesho mchana, mambo leo yameniwia mengi sana.
Ninacho fanya kwenye kuandika hivi visa ni kwamba sehemu ninayotaka kuipost leo naandika leo leo.
Nilijaribu kuandika vipande vingi ili niwe napost tu ila nilishindwa maana huwa siwi na msukumo wa kuandika.
Ila nikiandika sehemu moja na kuipost najikuta namaliza story fasta maana muda wote najihisi nina deni.
Nelly
Smooth Criminal
Harmful
Na wengine wote.
Nikimaliza hii nitawaletea kisa kilicho nitokea mwaka jana tu hapo.
Mshangazi ambae amechumbiwa na kutolewa mahali, nilituma maombi ya kazi akakubali Tajiri nikawa najiachia kwao bila kujua kinachoendelea.
🤣🤣🤣🤣 tayari nishaiandika mkuu subiri kama lisaa hivi nifike nyumbani.Tajiri Sina BAYA kama kuandika shida tuma hata voice basi tutaisikiliza
Hana baya Tajiri yetu 😀😀😀
Ni vile tajiri tu hana bayaHana baya Tajiri yetu 😀😀😀
Mwambie Tajiri Mkuu tumekaa kinyonge sana 😎
Nimemcheki pm kasema anatuma kwa kila anayesubir laki laki tena anaanza na weweMwambie Tajiri Mkuu tumekaa kinyonge sana 😎
Ila inabidi leo atauonjeshe na story ya mshangazi kidogo hata mistari kumi hivi 😁😁 kufidishia uvumilivu wetuNi vile tajiri tu hana baya
Ila angekuwa mchwara mchwara ningemtafuta nimpige na mawe😂😂😂
Hapana sijaona mbona? labda nivae mawani yangu kwanza 🚶🏼♀️Nimemcheki pm kasema anatuma kwa kila anayesubir laki laki tena anaanza na wewe
Vp ameshatuma 😂😂
😂😂 ni ujobless wako unakuponza, ungekuwa busy na kazi usingekuwa unachungulia humu kila saaIla inabidi leo atauonjeshe na story ya mshangazi kidogo hata mistari kumi hivi 😁😁 kufidishia uvumilivu wetu