Risasi yangu ya mwisho

Risasi yangu ya mwisho

Nilikuwa naandaa uchambuzi wa kazi yako ya fasihi, nikakumbuka tajiri hakosei, tajiri hachambuliwi,tajiri hana baya.

Tajiri hivi story zako ni chai, based on true story, ama ni fiction!
Nafungua kurasa kwa ajili yako mkuu, eleza unachokiona kwenye uandishi wangu kwa ujumla, yaani jiachie mkuu usiwe na wasiwasi hata kidogo, walinzi wangu nawapa ID yako waitambue kwamba si ID hatarishi kwa usalama wangu.

Visa vitatu ambavyo nimevileta hivi karibuni vyote ni vya kweli yaani.
Hiki nilichomaliza leo, kile cha demu ambae alipandinsha mashetani feki ili nimle, na kile kingine cha mdada Laima ambae nilimtambulisha kwamba anaishi newala.

Ila nimewahi kuleta simulizi ya kutunga humu 1 tu inaitwa My Family hii hapa 👇

Mimi ni mwana sanaa mkuu hivyo kila andiko lako moja utakalo andika kuhusu sanaa lina faida kubwa kwangu.
Karibu Mkuu.
 
🤣🤣🤣 una shida gani mkuu?
Maana mtu akienda kunywa ni starehe ila akienda kulewa ana tatizo fulani.
Sina tatizo mkuu,nilichagua kuwa mlevi tu ni fungu nalo kama nyie matajiri😂
 
Attachments

  • 20250328_131300.jpg
    20250328_131300.jpg
    79.6 KB · Views: 14
Nafungua kurasa kwa ajili yako mkuu, eleza unachokiona kwenye uandishi wangu kwa ujumla, yaani jiachie mkuu usiwe na wasiwasi hata kidogo, walinzi wangu nawapa ID yako waitambue kwamba si ID hatarishi kwa usalama wangu.

Visa vitatu ambavyo nimevileta hivi karibuni vyote ni vya kweli yaani.
Hiki nilichomaliza leo, kile cha demu ambae alipandinsha mashetani feki ili nimle, na kile kingine cha mdada Laima ambae nilimtambulisha kwamba anaishi newala.

Ila nimewahi kuleta simulizi ya kutunga humu 1 tu inaitwa My Family hii hapa
Swadakta mkuu, nitaleta Review na uchambuzi wa fani,maudhui, kufaulu kifani kimaudhui, na pia kutofaulu.

Sema kwa sasa naumwa homa na malaria, nikiwa sawa nitaileta mkuu. Kazi zako zinavutia mpangilio wake huwa najiuliza umejifunzia wapi utunzi, kama utaendelea kuweka bidii utavuka level za kina E.Shigongo hata utawafikia kina E.Semzaba.
 
Back
Top Bottom