Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
- Thread starter
- #221
Mkuu mimi sifanyi biashara huu uandishi, hivyo huo ujinga kwenye comment ndiyo furaha yangu.Pamoja mkuu, ila ungekuwa unaweka link ingependeza zaidi kwa sisi ambao hatupendi kusoma comments za kijinga. Japo comments zinamtia moyo mtunzi kujua kuwa tunafatilia story yake. Asante
Asante kwa ushauri lakini kama nitaamua kuwa mwandishi nitakuwa nafanya hivyo.