Risasi yangu ya mwisho

Risasi yangu ya mwisho

Swadakta mkuu, nitaleta Review na uchambuzi wa fani,maudhui, kufaulu kifani kimaudhui, na pia kutofaulu.

Sema kwa sasa naumwa homa na malaria, nikiwa sawa nitaileta mkuu. Kazi zako zinavutia mpangilio wake huwa najiuliza umejifunzia wapi utunzi, kama utaendelea kuweka bidii utavuka level za kina E.Shigongo hata utawafikia kina E.Semzaba.
Duh mbona ni ajabu hii mkuu, niandike machache kuhusu utunzi uandishi wangu.

Kwanza kabisa niseme sina elimu kubwa ya darasani, yaani japo nina Hela za kufuru lakini primary yenyewe nilikimbia (ukiona mahali pana hitilafu ya kiuandishi shida ya kwanza ni hiyo)

Kwenye uandishi sijawahi jifunza mahali, kwa kuwa sio kitu ambacho nimekitolea macho sijaamua hata kuingia YouTube ama kwingine kujifunza.

Niliipenda sanaa ya uandishi kwa kusoma simulizi za jamaa anaitwa EDDY (Eddazaria Godwin Msulwa, kama sijakosea) nilikuwa nazisoma Kwenye kitochi kupitia Google hasa ile story ya Sorry Madam na nyingine mbili tatu hii ilikuwa 2016/17/18 kama sikosei, tangu nimeacha sijasoma tena hadi leo.

Pia ukiachana na simulizi za Eddy nimewahi kusoma simulizi kadhaa lakini sikuwahi kuvutiwa nyingi niliishia Mwanzo au kati, ambazo nilisoma Episode nyingi ni mbili tu na zote nilisoma humu jf
1. Peniela
2. Bao tatu za mgeni(kama sijakosea jina)

Baada ya kuanza kumiliki tambo langu la kwanza niliwahi kuandika simulizi chache za kutunga Kwenye mtandao wa FB, zote sikuwahi kumaliza japo zilikuwa na wapenzi, sikumaliza maana kuandika ni jela asee, yaani kutwa nzima unaandika kitu kwaajili ya kuwaburudisha watu tu hupati malipo yoyote, nikaacha.

Ukipata muda ukaandika mahali kuhusu hivi vitu uniite nitakuja kujifunza.
 
Duh mbona ni ajabu hii mkuu, niandike machache kuhusu utunzi uandishi wangu.

Kwanza kabisa niseme sina elimu kubwa ya darasani, yaani japo nina Hela za kufuru lakini primary yenyewe nilikimbia (ukiona mahali pana hitilafu ya kiuandishi shida ya kwanza ni hiyo)

Kwenye uandishi sijawahi jifunza mahali, kwa kuwa sio kitu ambacho nimekitolea macho sijaamua hata kuingia YouTube ama kwingine kujifunza.

Niliipenda sanaa ya uandishi kwa kusoma simulizi za jamaa anaitwa EDDY (Eddazaria Godwin Msulwa, kama sijakosea) nilikuwa nazisoma Kwenye kitochi kupitia Google hasa ile story ya Sorry Madam na nyingine mbili tatu hii ilikuwa 2016/17/18 kama sikosei, tangu nimeacha
SAWA mkuu nitakutag.
 
Nafungua kurasa kwa ajili yako mkuu, eleza unachokiona kwenye uandishi wangu kwa ujumla, yaani jiachie mkuu usiwe na wasiwasi hata kidogo, walinzi wangu nawapa ID yako waitambue kwamba si ID hatarishi kwa usalama wangu.

Visa vitatu ambavyo nimevileta hivi karibuni vyote ni vya kweli yaani.
Hiki nilichomaliza leo, kile cha demu ambae alipandinsha mashetani feki ili nimle, na kile kingine cha mdada Laima ambae nilimtambulisha kwamba anaishi newala.

Ila nimewahi kuleta simulizi ya kutunga humu 1 tu inaitwa My Family hii hapa 👇

Mimi ni mwana sanaa mkuu hivyo kila andiko lako moja utakalo andika kuhusu sanaa lina faida kubwa kwangu.
Karibu Mkuu.
Uko na uandishi mzuri mkuu...
 
munemod
waleed012

Sina deni nanyi

kama nina baya semeni...
Asante kwa muda wako tajiri, Huna baya wala deni. 😂😂😂 ila ustadhi, mikwara yote alafu mkaishia kusalimiana......salama mjombo?
😂😂😂😂 shaibu nae kaniangusha sana, mi nilijua moto utawaka kuanzia magomeni, chikongola, lilungu had mikindani.
 
Nafungua kurasa kwa ajili yako mkuu, eleza unachokiona kwenye uandishi wangu kwa ujumla, yaani jiachie mkuu usiwe na wasiwasi hata kidogo, walinzi wangu nawapa ID yako waitambue kwamba si ID hatarishi kwa usalama wangu.

Visa vitatu ambavyo nimevileta hivi karibuni vyote ni vya kweli yaani.
Hiki nilichomaliza leo, kile cha demu ambae alipandinsha mashetani feki ili nimle, na kile kingine cha mdada Laima ambae nilimtambulisha kwamba anaishi newala.

Ila nimewahi kuleta simulizi ya kutunga humu 1 tu inaitwa My Family hii hapa 👇

Mimi ni mwana sanaa mkuu hivyo kila andiko lako moja utakalo andika kuhusu sanaa lina faida kubwa kwangu.
Karibu Mkuu.
Naomba uzi tag hapa hizo true story zako
 
Nilisoma kwa uoga kama mimi ndiye napigana na Ustadhi🥲

Hongera tajiri kwa ujasiri mkubwa namna hiyo, lakini na wewe unapenda matatizo kumbe, sekeseke lote lile na bado ukaendelea kurusha nyavu duh! Wewe kiboko😁😁
 
Asante kwa muda wako tajiri, Huna baya wala deni. 😂😂😂 ila ustadhi, mikwara yote alafu mkaishia kusalimiana......salama mjombo?
😂😂😂😂 shaibu nae kaniangusha sana, mi nilijua moto utawaka kuanzia magomeni, chikongola, lilungu had mikindani.
🤣🤣🤣🤣🤣 wangeamua kufanya hivyo pengine nisingekuwa naandika hii leo.
 
Naomba uzi tag hapa hizo true story zako

Nilisoma kwa uoga kama mimi ndiye napigana na Ustadhi🥲

Hongera tajiri kwa ujasiri mkubwa namna hiyo, lakini na wewe unapenda matatizo kumbe, sekeseke lote lile na bado ukaendelea kurusha nyavu duh! Wewe kiboko😁😁
🤣🤣🤣 tatizo kichwa kidogo hakina ubongo mkuu, ila kikiamua huwa kina kiendesha kichwa kikubwa.
 
Back
Top Bottom