Risasi ya Kichwa

Risasi ya Kichwa

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
24
Reaction score
141
Ninachoamini: Hakuna mwanaume anayeua mke kwa ishu za mali. Shika kanuni hii Ukisikia mwanamke kaua mume inaweza kuwa ni Kwa ajili ya Mali. Ukisikia mwanaume kaua mke, jua ni kusaliti. Usaliti ndo kitu rahisi sana kumfanya mwanaume ainue silaha yoyote na kuua.

Angalizo: Siungi mkono uamuzi wa Kweka, ila naeleza hisia zangu kwa uzoefu wangu wa kusikia matukio ya namna hii. Muda utaongea. Sitashangaa kama upelelezi wa polisi utaibuka na kona hii niiwazayo.
 
Somehow sounds true
 
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

1791130388944.png
 
Watanzania reasoning yetu kama ngedere.

Mtanzania: "Serikali haiwezi kuua vijana wadogo hivi kisa kuandamana,kuchoma mwendokasi can't justify killings"

Also Mtanzania: "Hakuna mjinga wa kumpiga Risasi ya kichwa mke wake bila sababu,hapo kutakua na sababu tu,kama sio cheating basi mali,me nakwambia chunguzeni"

I was also wondering viranja wa kupinga picha za faragha za watu kusambazwa online ndio watu wanafurahia video ya Prime minister..

My country pipoz..
 
uzi ufungwe, naunga mkono
 
Ninachoamini: Hakuna mwanaume anayeua mke kwa ishu za mali. Shika kanuni hii Ukisikia mwanamke kaua mume inaweza kuwa ni Kwa ajili ya Mali. Ukisikia mwanaume kaua mke, jua ni kusaliti. Usaliti ndo kitu rahisi sana kumfanya mwanaume ainue silaha yoyote na kuua.

Angalizo: Siungi mkono uamuzi wa Kweka, ila naeleza hisia zangu kwa uzoefu wangu wa kusikia matukio ya namna hii. Muda utaongea. Sitashangaa kama upelelezi wa polisi utaibuka na kona hii niiwazayo.
Usaliti haukupi mamlaka ya kutoa uhai wa mtu kwa namna yoyote ile. Alichofanya ni upumbavu wa kushindwa kudhibiti hasira zake. Majuto ni mjukuu , anaenda kunyongwa jela au kukaa jela mpaka mwisho wa uhai wake huku mali walizokuwa wakizigombania wakiacha zikienda kutafunwa na ndugu. Huenda hats mtoto wao mdogo asiweze kufurahi urithi wake.
 
Ni vyema viongozi wa dini ya kikristo wawaambie waumini wao kuwa talaka inaruhusiwa kwao endapo wanandoa wataona wameshindwa kusuluhisha migogoro yao.

Hizi habari za mpaka kifo kitakapo watenganisha ndio huleta mauti.
 
wito rasmi kwa serikali, huko kwenye kanisa watachelewa sana
 
Niliwahi kusikia kuwa mwanamke fanya makosa yote lakini siyo kumnyima mwanaume cha asubuhi, akili zikimruka anafanya chochote
ukiona ndoa ina migogoro sana jua kuwa hakuna mahusiano mazuri ya tendo la ndoa kwa wana ndoa.
 
Mahakama pekee ndo ina mamlaka ya kutoa talaka hapa nchini na hakuna kiongozi yoyote wa dini mwenye mamlaka ya kuzuia na hilo linajulikana. Kama watu hawajataka kupeana talaka ni maamuzi yao.
Ni vyema viongozi wa dini ya kikristo wawaambie waumini wao kuwa talaka inaruhusiwa kwao endapo wanandoa wataona wameshindwa kusuluhisha migogoro yao.

Hizi habari za mpaka kifo kitakapo watenganisha ndio huleta mauti
 
Kwa hiyo kumbe alikuwa anafight abadili umiliki wa mali ili aende kula maisha na Boda,daaaaah
 
Back
Top Bottom