Risasi yangu ya mwisho

Duh mbona ni ajabu hii mkuu, niandike machache kuhusu utunzi uandishi wangu.

Kwanza kabisa niseme sina elimu kubwa ya darasani, yaani japo nina Hela za kufuru lakini primary yenyewe nilikimbia (ukiona mahali pana hitilafu ya kiuandishi shida ya kwanza ni hiyo)

Kwenye uandishi sijawahi jifunza mahali, kwa kuwa sio kitu ambacho nimekitolea macho sijaamua hata kuingia YouTube ama kwingine kujifunza.

Niliipenda sanaa ya uandishi kwa kusoma simulizi za jamaa anaitwa EDDY (Eddazaria Godwin Msulwa, kama sijakosea) nilikuwa nazisoma Kwenye kitochi kupitia Google hasa ile story ya Sorry Madam na nyingine mbili tatu hii ilikuwa 2016/17/18 kama sikosei, tangu nimeacha sijasoma tena hadi leo.

Pia ukiachana na simulizi za Eddy nimewahi kusoma simulizi kadhaa lakini sikuwahi kuvutiwa nyingi niliishia Mwanzo au kati, ambazo nilisoma Episode nyingi ni mbili tu na zote nilisoma humu jf
1. Peniela
2. Bao tatu za mgeni(kama sijakosea jina)

Baada ya kuanza kumiliki tambo langu la kwanza niliwahi kuandika simulizi chache za kutunga Kwenye mtandao wa FB, zote sikuwahi kumaliza japo zilikuwa na wapenzi, sikumaliza maana kuandika ni jela asee, yaani kutwa nzima unaandika kitu kwaajili ya kuwaburudisha watu tu hupati malipo yoyote, nikaacha.

Ukipata muda ukaandika mahali kuhusu hivi vitu uniite nitakuja kujifunza.
 
SAWA mkuu nitakutag.
 
Uko na uandishi mzuri mkuu...
 
munemod
waleed012

Sina deni nanyi

kama nina baya semeni...
Asante kwa muda wako tajiri, Huna baya wala deni. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ustadhi, mikwara yote alafu mkaishia kusalimiana......salama mjombo?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shaibu nae kaniangusha sana, mi nilijua moto utawaka kuanzia magomeni, chikongola, lilungu had mikindani.
 
Naomba uzi tag hapa hizo true story zako
 
Nilisoma kwa uoga kama mimi ndiye napigana na UstadhiπŸ₯²

Hongera tajiri kwa ujasiri mkubwa namna hiyo, lakini na wewe unapenda matatizo kumbe, sekeseke lote lile na bado ukaendelea kurusha nyavu duh! Wewe kiboko😁😁
 
🀣🀣🀣🀣🀣 wangeamua kufanya hivyo pengine nisingekuwa naandika hii leo.
 
Naomba uzi tag hapa hizo true story zako

 
Nilisoma kwa uoga kama mimi ndiye napigana na UstadhiπŸ₯²

Hongera tajiri kwa ujasiri mkubwa namna hiyo, lakini na wewe unapenda matatizo kumbe, sekeseke lote lile na bado ukaendelea kurusha nyavu duh! Wewe kiboko😁😁
🀣🀣🀣 tatizo kichwa kidogo hakina ubongo mkuu, ila kikiamua huwa kina kiendesha kichwa kikubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…