Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mashine moja ilikuwa na kasoro na inawezekana ndiyo iliyo pima sample ya papai na fenesi
In God we Trust
Report inasemaje?
In God we Trust
Report inasemaje?
CCM Kuwaelewa ni ngumu sana
Wako kwenye maabara!Duuu juzi hawakuvaa barakoa ila leo hii wamezitinga
In God we Trust
Hao mataga wanaakili ndogo sn... Eti maabara imejengwa dar sababu ya madereva?Maabara wamejengewa madereva?
Madereva wengi wako Dar bwashee!
Bado ipo mkuu, Ila imefubaamkuu kwani corona bado ipo ?
Hivi nani alisema ugonjwa umeisha, tuliambowa umepungua na tuendelee kichukua tahadhaliNimepata taarifa kuwa jiji la Dar limeshambuliwa sana na Corona baada ya watu kupuuzia hatua za kujikinga. Mambo yamevurugika kabisa.
Waanze sasa na kutupa Updates za huo ugonjwa ili tuendelee kwa nguvu zote kujikinga badala tu ya kutuambia tupige kelele kwa kisingizio eti hiyo Corona imekwiisha.
Acha hizo bhana... mamlaka imeshasema maambukizi yamepungua Sasa hizi taarifa zako umezipata wapi?Nimepata taarifa kuwa jiji la Dar limeshambuliwa sana na Corona baada ya watu kupuuzia hatua za kujikinga. Mambo yamevurugika kabisa.
Sidhani kama ndio sababu, unataka kusema na Kenya maabara iko Mombasa au South Africa maabara ya taifa iko Dubarn?magari yaliyo mengi yanayoenda nchi za jirani yanaanzia dar kwa kuwa bandari ndo ipo hapo.
pia hata magari yanayoanzia mikoa tofauti na dar itawalazimu madereva waende kupata vipimo dar kisha waendelee na safari.
Sent using Jamii Forums mobile app
kenya wana mambo yao tofauti na Tanzania. Pia South Africa ni hivyohivyo.Sidhani kama ndio sababu, unataka kusema na Kenya maabara iko Mombasa au South Africa maabara ya taifa iko Dubarn?
Hapa sitoshangaa kuwa hata yule dada walie mtumbua alikuwa hana makosa.Hizi report za kupika huwa zinawaumbua vibaya saana watu;
Sababu ya kwanza..... ni kosa la nani? nani anasimamia utendaji wa maabara kwa ujumla .... majibu ni Waziri...alitakiwa kutumbuliwa Waziri
Sababu ya pili...Ubovu wa mashine...hizi mashine ni mpya na ni chache (mbili tu ) kwa akili ya kawaida Waziri hakuwa na taarifa kuhusu ubovu?
Dodoma itajengwa ya kikanda, za kitaifa zote zinajengwa DarKwann Dar na sio Dodoma??
Hivi kweli kabisa wewe ulitegemea ripoti ya maana? Wachana na wanasiasa kabisa.....muda wote wanafikiria votes tu.Hizi report za kupika huwa zinawaumbua vibaya saana watu;
Sababu ya kwanza..... ni kosa la nani? nani anasimamia utendaji wa maabara kwa ujumla .... majibu ni Waziri...alitakiwa kutumbuliwa Waziri
Sababu ya pili...Ubovu wa mashine...hizi mashine ni mpya na ni chache (mbili tu ) kwa akili ya kawaida Waziri hakuwa na taarifa kuhusu ubovu?
Kwahiyo maabara ya Taifa imejengwa kwa dharura Dar es Salaam ili kukabiliana na Corona? Meaning that maabara nyingine ya Taifa itajengwa Dodoma baada ya Corona kuisha!hii ni maabara ya afya ya jamii ya taifa. wakati ummy mwalim anaongea walikowepo waandishi wa habari na ni swali la msingi ambalo wangeweza kuhoji ukapata majibu.
waziri ummy amewahakikishia madereva majibu ya vipimo vya covid 19 vitapatika ndani ya 24 hrs.hapo target ni corona
Sent using Jamii Forums mobile app
inajengwa nyingine Dodoma unayotaka weweKwahiyo maabara ya Taifa imejengwa kwa dharura Dar es Salaam ili kukabiliana na Corona? Meaning that maabara nyingine ya Taifa itajengwa Dodoma baada ya Corona kuisha!