maabara ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr kenice

    Natafuta kazi ya Mtekinolojia Maabara, nipo Kahama

    Wasifu: Mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa nipo kahama. Ni mtaalam wa maabara ngazi ya Diploma na nimehitimu masomo mwaka 2020, Ni mtaalam nilie sajiliwa na Baraza la maabara Tanzanian. Nyaraka nilizonazo; Form IV certificate Nacte certificate Nacte Transcript Cheti Cha leseni...
  2. kupe

    #COVID19 Maabara ya Taifa (COVID-19), wateja wakiulizia majibu au kuomba msaada sio uhalifu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu. Sasa basi hapa ndio kuna tatizo. Hawa watu wa kupokea simu kutuona sisi wateja kama wahalifu au tunapoteza...
  3. mwehu ndama

    Watendaji wa Maabara ya Taifa ya Tanzania mmeshindwa kazi!

    Wakuu, Baada ya kukaa likizo bongo kwa wiki tatu nilifanya vipimo vya Corona na kulipia ada ya malipo ya Tsh. 230,000 siku ya Jumatano tarehe 4 ili nijiandae na safari yangu iliyokuwa jana siku ya Ijumaa tarehe 6. Cha ajabu mpaka ilipofikia lisaa limoja kabla ya muda wangu wa safari bado...
  4. Trubarg

    Maabara ya Taifa ya Afya(NPHL) boresheni haya

    Maabara ya Taifa inajihusisha na kufanya tafiti pamoja na upimaji wa magonjwa ya mlipuko Kama Corona n.k. Kipindi hi Cha Corona ndiyo wanaohusika na kupima wagonjwa na wasio wagonjwa. Msafiri yeyote anayetaka kutoka nje ya nchi hairuhusiwi kupanda ndege mpaka awe na Cheti kutoka kwa Hawa jamaa...
  5. Cannabis

    #COVID19 Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  6. Influenza

    Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa ripoti ya Uchunguzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na kueleza mambo kadhaa yaliyogunduliwa na Kamati teule ya Uchunguzi Amebainisha kuwa Kamati imegundua uwepo wa Mapungufu katika mfumo wa kimuundo, kiutendaji na uendeshaji wa kitaaluma katika upimaji wa...
  7. G Sam

    Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

    Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya. Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma. Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
  8. Victoire

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
Back
Top Bottom