Mbwembwe amuachie hemedi kivuyo hahahaAngalia habari husika bwebwe Muachie
Mbwembwe amuachie hemedi kivuyo hahahaAngalia habari husika bwebwe Muachie
hahahahahshahahahahahahahahahaNi kama anaripoti "Nyuma yangu ni bulldoza za manispaa zikiendelea na zoezi kabambe la kutokomeza nyumba za wapiga deal, eneo hili kwa mujibu wa sheria si makazi ya watu, lakini mabwenyenye wachache waliamua kutunisha misuli na kupajenga, muda umefika wakaisome namba, nikiripoti kutoka eneo la tukio, mimi ni sam manoti, kichwa upande, ITIVIII.
Sawa Sam lakini ubadilike, unaboa sanaMAISHA NI KUVUMILIANA. HUO NI MTIZAMO WAKO WENGINE TUKIONA ANAVYO REPORT TUNAFURAHI SANA. MIE PIA SIJAPENDA ULIVYOANZISHA HII THREAD ILA NIMEKUVUMILIA TU MAANA MAISHA NI KUVUMILIANA.
Maela ana saka kiki ya kutokea kwa nguvu zote! Maana Buhohela kamwachia vfiatu fyake kwenye dk 45 ila mshikaji bado anazingua maana anashindilia masoksi ili vimtoshe!Huyo jamaa anaboa sana halafu kuna mwingine kutoka bukoba sijui anaitwa nani vile!
[emoji23][emoji23][emoji23]mimi ni joooojiiiiiii maaaaarrraaaaattooooooooooo wa aaaiiii tiiiiii viiiiii maraaaaaaaaaaa.......!!!!!!!
SawaHuyo jamaa anaboa sana halafu kuna mwingine kutoka bukoba sijui anaitwa nani vile!
huyo wa bukoba ni kama huwa amelewa,anavaa ovyoovyoHuyo jamaa anaboa sana halafu kuna mwingine kutoka bukoba sijui anaitwa nani vile!
[emoji23] [emoji23]Umekurupuka we mama, ebu soma uzi uelewe
haha [emoji23]Mimi ñimejikita Azam two
He he heBadilisha channel kamsikilize Kapiga