Ripota wa ITV Sam Mahela unaboa unaporipoti

Kerosine Bal

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
247
Reaction score
231
Taarifa ya habari itv naikubali sana kwa sababu wanajitahidi kutupatia taarifa kila kona ya nchi na kwa ufafanuzi mzuri kuliko vituo vingine hapa nchini.

Ila kuna ripota, sam mahela ananiboa sana anaporipoti... Mfano leo alikuwa anaripoti bomoa bomoa ya KIVULE MAGOLE kwa mbwembwe ni kama anafanya dhihaka kwa wahanga.

Sam angalia sehemu za kufanya mbwembwe bana......
 
Nilivyosoma tu kichwa cha habar nikajua atakuwa sam manoti huyu! mzoee mwenzako kasomea hiyo kazi na ndo inamweka mjini
 
Taarifa ya habari itv naikubali sana kwa sababu wanajitahidi kutupatia taarifa kila kona ya nchi na kwa ufafanuzi mzuri kuliko vituo vingine hapa nchini.

Ila kuna ripota, sam mahela ananiboa sana anaporipoti... Mfano leo alikuwa anaripoti bomoa bomoa ya KIVULE MAGOLE kwa mbwembwe ni kama anafanya dhihaka kwa wahanga.

Sam angalia sehemu za kufanya mbwembwe bana......
Wewe si mgonjwa tunakufahamu!Ulitaka alipotiwe baba tu.
 
Back
Top Bottom