MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Sam mahela mwandishi wa habari wa ITV kesho atakuwa akiongea na waziri wa utumishi wa umma ,angellah kairuki kwenye kipindi cha dakika 45 SAA 3:00 usiku.
Sam mahela uache kuwa unamwogopa waziri wa utumishi wa umma uwe unauliza maswali ya msingi na unambana anakupa majibu ambayo hayana siasa siyo akiwa kila Siku kuongelea swala la watumishi hewa hilo tulijua na tunajua idadi ya watumishi ni 19000 tunaomba kesho umuulize maswali.
01: lini serikali itawarudisha kazini wale vijana 3000 iliowaajiri mwezi June 2016 ?na iliwapa mikataba na walianza kazi mfano walioajiriwa na mahakama vijana 348 .
02: lini serikali itaanza kulipa madeni ,malimbikizo na uhamisho kwa watumishi wa umma mpaka sasa hizi huduma zimesitishwa ?
03: ajira mpya zitaanza lini ? Mpaka sasa zimesimamishwa tunajua hivyo .
04: je ? Walimu wa shule za msingi wataajiriwa mwaka huu wa fedha 2016/17.
Sam mahela ,acha kuwa unaogopa kuuliza maswali yenye tija kwa wananchi matokeo unauliza maswali ya kujipendeza kwa mawaziri .