Ripota wa ITV Sam Mahela unaboa unaporipoti

Ripota wa ITV Sam Mahela unaboa unaporipoti

Kam huko inakuboa weka clouds tv.

Hizi avatar zenu hatari sana, kati ya wewe na MO11 nani mkubwa? Mtakua ndugu tu, mmefanana sana!

294185.jpg
216558.jpg
 
Mahera nilikuwa namchukia sana kupendelea ccm , Ila saivi ukata huu nafurahia vituko vyake anapomalizia kuripoti ana dab kama Hussen Bolt
Hata siku anaripoti habari ya mvua ya juzi Dar nilibaki kunywa wazi alipokuwa anaripoti huku kasimama katikati ya mvua kubwa halafu akamalizia kwa ku dab
 
Ndivyo alivyo hata akiagiza menu hotelini huwa anarusha kichwa hivyo hivyo...😀 Lakini ndio trademark yake asipofanya vile atachuja mwacheni aendelee..
 
Ni kama anaripoti "Nyuma yangu ni bulldoza za manispaa zikiendelea na zoezi kabambe la kutokomeza nyumba za wapiga deal, eneo hili kwa mujibu wa sheria si makazi ya watu, lakini mabwenyenye wachache waliamua kutunisha misuli na kupajenga, muda umefika wakaisome namba, nikiripoti kutoka eneo la tukio, mimi ni sam manoti, kichwa upande, ITIVIII.
 
MAISHA NI KUVUMILIANA. HUO NI MTIZAMO WAKO WENGINE TUKIONA ANAVYO REPORT TUNAFURAHI SANA. MIE PIA SIJAPENDA ULIVYOANZISHA HII THREAD ILA NIMEKUVUMILIA TU MAANA MAISHA NI KUVUMILIANA.
Ha ha ha haaaaa daaaa kweli kuvumiliana.
 
Sam Mahela yuko poa sana, huo ni mtazamo wako mleta hoja
 
Back
Top Bottom