Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

Una maana adui wa Taifa ni adui wa Rais. Adui wa Rais ni adui wa Rais.

Ndugu Andrew Nyerere!!
Kwa sasa jinsi ilivyo ni kuwa watoto wengi wa mabwanyenye weusi au wakoloni weusi pamoja na wapambe wao wanaelewa kuwa mamlaka ya mzazi ni mamlaka ya wale wanaomzunguka.
Kwa hiyo usishangae.
 
Rizi moko bwana!! Hapa ametoa tafsiri ya mambo kama ifuatavyo:-
  1. Ugomvi upo ila si mkubwa.
  2. Ukiwa na mahusiano mabaya na Raisi vyombo vya dola vinakuhusu (Whaaat???!!)

Kazi kwenu wanajamvi. Hiyo namba 2 inawahusu wengi wenu humu si mnatafuta bifu na JK teh.
 
Kwa kauli hii sasa napata picha kuwa dogo Riz1 cku hizi ndio msemaji wa familia ile iliyopo Ikulu na pia ni msemaji wa chama chake, hapa pia utaona kuwa kuwa huyu EL hajavhukuliwa hatua kwa makosa yake kwakuwa hana ugomvi na mzee... Kwa tafsiri sahihi ni kwamba kuna kulindana no matter kosa kubwa kiasi gani alifanya
 
Hujaeleweka vizuri mkuu hebu nyoosha maelezo yako.

Kama ulikuwepo ugomvi,ugomvii huo ulikuwa unahusu jambo gani? Kama sasa hivi ni common knowledge mitaani kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa hapatani kabisa na Lowassa. Ipo kashfa ya Richmond ambapo Lowassa amegombana na Bunge,lakini Mwalimu Nyerere hakuwepo.
 
Niliambowa kajamaa kalilamba div 4 na matokeo ya chuo kikuu hovyo kabisa. Luke father like son
 
Riz aliwahi kusema rais ajaye hawezi kutoka kaskazini, kauli ambayo kiasi fulani ilichafua hali ya hewa.
 
Je chadema wanapouwawa, na wapinga ufisadi wanapoteswa huwa ni amri ya Rais?
 
Kwa hiyo angekuwa na ugomvi nae angemshughulikia !!!!!!????????
 
Ina tija gani kwa taifa? Wawe na ugomvi wasiwe na ugomvi, is up to them na Miungu yao.
 
Huyu dogo Riz ni mpuuzi na huwa hajui kupangilia kauli zake, wamefanya ikulu km vile ni nyumba yao binafsi.
 
Huyu huyu riz1 akihojiwa na salama jabir aliwahi kusema familia ya lowasa na yao hawana urafiki wala uhusiano wowote ndiomaana hawajawahi kwenda monduli na familia ya lowasa haijawahi kwenda kwa kina riz1.
Hawa vijana wa ccm nani kawaloga?
 
Back
Top Bottom