Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

huyu dogo ni mmoja wa wabunge mbumbumbu kabisa waliomo mjengoni dodoma. nadhani baada ya marehemu komba, yeye ndiye anayefuatia kwa ukilaza. ana akili za kizee kabisa...hata kingunge au profesa maji marefu (ambaye hakwenda shule) wanamzidi akili kwa mabali sana.
View attachment 233505
 
Kweli kabisa .......... yaani yeye kama mbunge anasema kuwa baba yake anaweza kumshughulikia mtu bila hata kosa!? Hii arrogance ya wana CCCM inavuka mipaka. Hajui kuwa hayo ni matumizi mabaya ya mamlaka ........ eti ni mwanasheria!! Kwa hiyo kwenye hiyo picha na yeye anatumia mamlaka yake ............!!
 
Adui wa Rais ni adui wa Taifa. Hivyo maadui wa taifa wanashughulikiwa na vyombo husika kwa mujibu wa sheria zilizopo

Mungu ibariki Tanzania ipate rais ambaye hatouona urais ni wake na familia yake kama huyu anavyofanya!
 
Back
Top Bottom