Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

Wewe ni hoperess. Mimi ni kiongozi wa familia. Kwa nini nisielezwe kama Lowassa alikuwa adui mkubwa wa Mwalimu.

Mh familia za Kiafrika hizi ziache kama zilivyo. Waweza kuta kuna kiongozi wa familia na ndondocha wa familia. Hapo hapo katika famili moja.
 
Huyo dogo alishawahi kukejeli kuwa kuna watu wanamkampenia mkombea wao mgonjwa..i can recall iliitoa kauli hiyo kwenye hayo makundi yao wakati wa mkutano mkuu dodoma wakati wa kumchagua JK kama mwenyekiti wa chama..huyu mropokaji sana kama babake tu
 
Hawezi kujibia mahusiano ya baba yake na rafiki zake je baba akikosana na mkewe chumbani mtoto anajuaje anatuaminisha kuwa wanamahusiano ya ajabu kati ya baba na mtoto aidha amekili wana ugomvi ila si mkubwa na kuwatupia zigo media house kwani wao ndio wameshika akili zao?
 
Kumbe mnatumia vyombo vya dola kushughulikia watu badala ya usalama wa nchi? Itabidi vifo vya watu vichunguzwe,hususani waliokuwa viongozi wa taifa hili,tuanze na Dr.Omar Ally Juma(aliyekuwa tishio la kitumbua 2005)
 
Kwa hyo lolote litakalomtokea EL litakuwa ni vyombo vya dola iwapo itadhihirika kuwa kuna ugomvi na JK? Kwa maana amesema kama JK ana ugomvi na EL hawezi kushindwa kumshughulikia kwa kuwa vyombo vya dola viko chini yake.
 
Kuna tofauti kubwa sana de ya huyu mtoto wa rais wetu na watoto wa rais wengine duniani sijui huwa anafikiria kwa jinsi gani?
 
mimi nilivyoelewa ni kuwa Mosi,UGOMVI UPO ila SIYO MKUBWA. Pili, KAMA UGOMVI UNGEKUWEPO MKUBWA BASI VYOMBO VYA DOLA VINGEMSHUGHURIKIA LOWASA Kwa Kuwa Vyombo Vya Dola Ni Mali Ya Baba Yake.
 
Rais Kikwete ni rafiki wa watanzani wote, haya ya kukosana na baadhi ya wananchi wake mnayatoa wapi kama siyo kukosa kazi.

rafiki yako wewe sio watanzania wote,farasi rafiki yake hawezi kuwa punda!
 
Mbunge wa Chalinze (CCM), Ridhiwan Kikwete, amesema kama Rais Jakaya Kikwete angekuwa na ugomvi na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, asingeshindwa kumshughulikia kwa kuwa anayo mamlaka na vyombo vyote vya ulinzi vipo chini.Chanzo: Nipashe

Iliwahi kusemwa kwamba JK ni mtu wa vinyongo na visasi. Kwa kauli kama hizi kutokea Ikulu, mtu huwezi kubisha.
 
Sijalisoma gazeti lililoandika hiyo habari, lakini kama alisema hivyo, kijana hajaiva kisiasa na kosa Kubwa alilofanya. Very in professional and naive MP
 
riz ! ahuna rukhusa ya usemaje wa familia yenu iyo kazi ya mwanasheria wenu ona sasa unavyojikanyaga .unasema baba ana ugomvi mkubwa na lowassa .swali kwako tena una mahanisha baba wana ugomvi lakini sio mkubwa hila media zinakuza . ww kijana angaria mdomo wako
 
Ridhiwani alinukuliwa akisema baba yake Kikwete hana uadui na Lowassa na angekuwa na uadui naye angemshulikia maana vyombo vyote vya ulinzi vipo chini yake.
Je, alimaanisha nini?
Ina maana JK akimchukia mtu anatumia vyombo vya ulinzi kumshughulikia?
Nini hasa undani wa kauli hii nzito?
Ridhiwani wewe ni member hapa jf jitokeze ujibu tafadhali.[/QUOTE



Hatimae wameanza kuropoka.
 
Wewe ni hoperess. Mimi ni kiongozi wa familia. Kwa nini nisielezwe kama Lowassa alikuwa adui mkubwa wa Mwalimu.

Nyerere nilisikia wanataka atangazwe Mtakatifu, sasa nachelea kuuliza iweje mtu mwenye sifa za Utakatifu awe wa visasi na uadui. Na je Nyerere alikuwa na uadui na SOKOINE? maana Sokoine na lowassa wote wametoka monduli.

Tunaomba ufafanuzi tafadhali
 
Ni Familia yenye Hila na Unafiki dhidi Lowassa,wanacheka modomoni moyoni wanalia.

Ridhiwani ni kiherehere juilizeni kwanini kuna baadhi ya Wakuu wa Wilaya wanawekwa kwa shinikizo lake?

Subiri muda Octoba sio mbali uchaguzi ukipita akapatikana RAIS MPYA utakuja eleza huo UKWASI/MALI MINGI umezipatapataje.

Fedha ulizokusanya isivyo halali ile iliyo ya WATANZANIA UTARUDISHA HATA SENTI YA MWISHO.
 
Huyu dogo ame-develop arrogance ya hali ya juu sana kana kwamba baba yake atatawala milele.Mifano ipo mingi ya hivi karibuni zaidi ni ya wale watoto wa Saddam walioamini na kuishi kwenye kivuli cha mamlaka ya baba yao
 
Hivi unawezaje kuwa na bifu na mtu ambaye:
1. Mmekuwa marafiki tangu skuli hadi uzeeni.
2. Alitumia raslimali zake nyingi sana kuhakikisha unaingia ikulu.
3. Mmepiga nae dili nyingi kwaiyo anajua siri zako hadi za ndani.
4. Aliyejitoa mhanga/kafara ili kukunusuru wewe, serikali yako na chama chako kwa wizi ambao ww ndiye ulitakiwa kuwa m2 wa kwanza kuwajibika iwapo ukweli ungedhihiri.
 
Back
Top Bottom