Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

Sikuamini hichi nilichokisoma, kwa hiyo anamaana hayo majeshi na vyombo vya usalama viko kwa ajili ya personal interest za baba yake wakati vinalipiwa na kodi zetu? hivi hata hizo pesa wanazoiba haziwasaidii kuwapeleka shule walau wakawa polished kidogo maana this is typical kilaza, his own father must be so dull angekua an average person angeshamkanya mtoto wake na hizi unnecessary embarrassment. Sasa si mnaona eeh? zile max za prof Juma zilizombeba hazijamsaidia, he is just not an elite material wanalazimisha na vinadunda, ndio maana mwenzao Lowasa kasema haongei na wapiga debe muda wao umekwisha, Its interesting very dull empty kabisa, pole kwa wazazi wake, by the way msisahau huyu ni wakili ambaye hajawahi kusikiliza kesi yoyote.
 
Mhn! Just an opportunist!

Anajiweka kwenye position ambayo just in case EL anachukuwa nchi, waendelee kulindana.
 
" A seed does not fall far from the tree !!" kabla ya kumlaumu mtoto kama amekosea au ni mweledi ktk kauli zake , as a Great thinker jaribu kurejea baadhi ya kauli alizopata kuzitoa mkuu Wa kaya mwenyewe ... Mimi nakumbuka hii...... " WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI KUPATA MIMBA NI viherehere vyao " ... kauli hii inaniuma mpaka Leo nikikumbuka mamia ya mabinti wapatao ujauzito kila uchao kwa kukosa mabweni ktk secondary za kata na kuishia kupanga ktk 'mageto'
 
Mtoto wa Raisi kuwa msemaji wa Raisi! Hii ni kali kwelikweli. Full uswahili
 

Aliongeza kuwa mambo hayo yanakuzwa na kimsingi hakuna ugomvi mkubwa kama inavyodaiwa na kukuzwa na watu wengi.
Ni sawa hawana ugomvi mkubwa kama watu wanavyofikiri,bali wana ugomvi mdogo !
 
Ni wangapi
amewashughulikia? Na je ni vema
kujigamba na vyombo vya dola kwa
masilahi au ugomvi binafsi? Je hii
kauli haidhibitishi malalamiko kuwa
ikulu inahusika na kupiga, kutesa na
kung'oa meno na kucha wakosoaji
wa serikali ya ccm ka kina mwangosi?
 
dogo anapenda kuropoka sana, na huu uropokaji wake utakuja kumtokea puani siku moja.

Umenena maana kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama siyo kutatua ugonvi binafsi kati ya rais na mtu yeyote. Riz1 anazungumza kama hakwenda shule, au ni kulewa ukubwa wa baba yake?
 
Riz 1 kauli zako kila mara zina utata sana. Katika mahojiano yako hivi karibuni ulisema ndoto yako ni kuwa katibu mkuu wa ccm. Sababu uliyotoa eti ni kuwa katibu mkuu anamamlaka makubwa na anaweza kuwaambia wabunge wa ccm walale chini na wakalala. Kauli kama hii haionyeshi dhamira ya kutaka kukijenga chama na kuwa na demokrasia pana ndani ya ccm bali ni kupenda madaraka tu ili wengine wafyate. Riz 1 kumbuka uko karne nyingine ni vizuri kujipanga kabla ya kubwabwaja
 
Ni wangapi
amewashughulikia? Na je ni vema
kujigamba na vyombo vya dola kwa
masilahi au ugomvi binafsi? Je hii
kauli haidhibitishi malalamiko kuwa
ikulu inahusika na kupiga, kutesa na
kung'oa meno na kucha wakosoaji
wa serikali ya ccm ka kina mwangosi?

riz kabainisha hilo waziwazi. kumbe ikulu hutumika kufanya mauaji kwa maadui wa rais. hii ni hatari sana kwa usalama wa raia.
 
hawa ndo viongozi wetu, thinking capacity yake ndo imegotea?
ndo maana ukimwambia mali unzoiba zina effects kiuchumi, hawezi kukuelewa,
rushwa ina madhara kiuchumi haelewi,
...%!qe
 
Ridhiwani alinukuliwa akisema baba yake Kikwete hana uadui na Lowassa na angekuwa na uadui naye angemshulikia maana vyombo vyote vya ulinzi vipo chini yake.
Je, alimaanisha nini?
Ina maana JK akimchukia mtu anatumia vyombo vya ulinzi kumshughulikia?
Nini hasa undani wa kauli hii nzito?
Ridhiwani wewe ni member hapa jf jitokeze ujibu tafadhali.

Hukumbuki yaliyompata Dk Ulimboka
 
simtishi, namshauri tu ijapokuwa najua majeshi yote yako chini ya baba yake.
Kwa Afrika Baba anapokuwa Rahisi hasa mtoto naye ni rahisi mdogo.... maana hakuna utawala wa sheria, na ndugu Ritz amezihirisha hilo kwamba ikulu tangu enzi za Mwalimu mpaka leo ni kushugulikia wabaya wa rahisi na familia yake
 
Riz 1 kauli zako kila mara zina utata sana. Katika mahojiano yako hivi karibuni ulisema ndoto yako ni kuwa katibu mkuu wa ccm. Sababu uliyotoa eti ni kuwa katibu mkuu anamamlaka makubwa na anaweza kuwaambia wabunge wa ccm walale chini na wakalala. Kauli kama hii haionyeshi dhamira ya kutaka kukijenga chama na kuwa na demokrasia pana ndani ya ccm bali ni kupenda madaraka tu ili wengine wafyate. Riz 1 kumbuka uko karne nyingine ni vizuri kujipanga kabla ya kubwabwaja

Bonge la darasa kaka...
 
Back
Top Bottom