special agent
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 325
- 74
Binafsi napenda sana wawekezaji wazawa so big up riz hayo mambo mengine kuna taasisi zinatakiwa kufanya kazi zake eg tra nk
Nataka kujua kodi zote, yaan ya TRA na PANGO la jengo, sina tatizo na huo uwekezaji, hata angewekeza Nchi nzima.
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.
Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.
Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.
Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?
Huyu ni nani? Na amefanywa nini vidole au ndo kakeketwa vidole kwa utamaduni wa magharibi?
Nataka kujua kodi zote, yaan ya TRA na PANGO la jengo, sina tatizo na huo uwekezaji, hata angewekeza Nchi nzima.
fanya yako mjini hapa usikarie majungu na umbea.Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.
Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.
Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.
Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?
usijali.... hata huyu alikuwa mara kumi zaidi ya huyo Riz
Kwani kule serebriti forum huwa tunajadiri paka..??Huna kazi ya kufanya unaanza kujadili watu
Niko Arusha, kuna hii kitu inaitwa Panone nayo anahusishwa nayo. Km ni kweli basi tusubiri yaleee ya watoto wa Mobutu akina Kongolo au wale wa Saddam au wa Gaddafi