Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Kwani wewe kwa akili yako unaamini kama LAMADA ya pale Ilala ni ya yule Msukuma mwenye Imalaseko?
Hapa mada ni LUGUMI na Umiliki wake....Hayo ya LAMADA kwa akili yangu unayajua wewe na Huyo Msukuma wa Imalaseko.
 
Anhaa! Lakini mbona nilikuona umeitaja mpaka AZAM kwenye hii mada ya LUGUMI. Uliitaja kwa ajili ya ukibaraka wako, kutibua mada au kwa bahati mbaya?
 
Jamani tusibishane bila data..mleta mada kapata fununu ambazo kweli zimeenea.ukiangalia na rapid growth ya kampuni tajwa,issue ya kuuzwa hilo jengo kwa kadeni kadogo..na dogo kuonekana hapo ukiziconnect dots utaona kuna ka ukweli..waliopo kwenye biashara za Supply na Services hususan Wizara ya mambo ya ndani wanajua wanavyopigwa vikumbo na hiyo kampuni hivyo kurelate na nguvu za ziada za kikubwa.
TANZANIA HII SI ILE UIJUAYO
 
Daaaah!!!!! Sijui kwa nini JF hawajatuwekea Ignore button!!...I mean seriously.
 
Jamani tusibishane bila data..mleta mada kapata fununu ambazo kweli zimeenea.ukiangalia na rapid growth ya kampuni tajwa,issue ya kuuzwa hilo jengo kwa kadeni kadogo..na dogo kuonekana hapo ukiziconnect dots utaona kuna ka ukweli..waliopo kwenye biashara za Supply na Services hususan Wizara ya mambo ya ndani wanajua wanavyopigwa vikumbo na hiyo kampuni hivyo kurelate na nguvu za ziada za kikubwa.
TANZANIA HII SI ILE UIJUAYO
Mkuu Inkoskaz,
Mimi sibishani na mtu yoyote. Ila napinga kwa baadhi ya wadau kuja na stori za bar na vijiweni humu kupika Majungu kutwa nzima. Tukila na style za kuconnect the dots tutakuwa tunapika Majungu tu. maana dots nyingine ni round and square if you get my drift. Hiyo Wizara uliyoitaja hapo juu kaka una uhakika na hicho ulichosema? Watu wanalalamika na kupiga Majungu ooooh Ridhiwani hivi Ridhiwani vile sasa walitaka Afanye nini ambalo lingewapendeza? Jamaa anafanya ya kwake kwa muda na nafasi yake. Muda wake utafika atakuja mwingine pengine atafanya zaidi ya Ridhiwani. Mimi point yangu ni hivi RIDHIWANI KAMA MTANZANIA ANA HAKI YA KIKATIBA NA KIMSINGI KUJIHUSISHA NA BIASHARA AU SHUGHULI YOYOTE ILI MRADI AFUATE SHERIA NA KANUNI ZA NCHI. Kama watu wana Data na uhakika ya kwamba anavunja Sheria wafuate taratibu stahiki ili aweze kufikishwa kunakostahili kujibu juu ya madai yanayomkabili. TUSILETE FUNUNU KUJADILI MAMBO YA MSINGI.
 
Umesomeka mkuu
 
kweli ridhiwani yuko tofauti sana makongoro hivi kwa nini????? R.I.P MWL.NYERERE endelea ridhiwani kuponda pesa najua kelele za chura hazimtishi tembo kunywa maji ila jua SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU.
 
Labda tuwekane sawa hapa wazee. Nilikuwa naukodolea macho uzi lakini kutokana na comment yako imebidi nichangie tu.. Kwanza kabisa Side Lugumi aka Bilionea hajawahi kuwa mpambanaji kihalali hivyo hicho cheo mvue.

Saidi namfahamu toka Mwanza miaka ile akiwa mesenja kwenye kampuni ya Amrani Batenga. Kijiwe chake kilikuwa cha mamisheni town wa mwanza jengo la Atc pale chini. Saidi alikuwa anatumwa tu nenda hapa fanya hivi peleka huu mzigo kule kachukue hiki pale nk. Kiukweli jamaa alikuwa loyal kwa jamaa Amrani mpaka akaanza kutumwa mzigo nje ya mkoa na hata nje ya nchi kama Uganda. Mpaka hapa inabidi uelewe kuwa jamaa ni std 7 tu na sio zaidi ya hapo. Kwa waliofanya nae biashara hasa hapa dar watakuwa wanalielewa hili jamaa hajiamini kabisa dili yoyote yeye anahisi kupigwa la macho tu. Miaka ya 2000 Side alipotelea Kigoma baada ya kumpata mama mtu mzima aliyekuwa anafanya kazi kwenye mashirika kama sikosei ya UN. Kwa kifupi mr PUNKY shujaa wako Side alikuwa MARIOOO akiwa huko kigoma. Mchizi ndipo alipotokea huko maana jamaa tayari alikuwa na uzoefu wa mambo ya supplies ya vitu mbali mbali toka akiwa mwanza. Side kapiga dili kibao za supplies kwenye mikoa ya juu huko hasa kigoma kwenye mashirika ya maana kwa mkono wa mama. Huko ndio alikoanza kushika hela.
Side ana ugonjwa kama wasukuma wengine wengi tu ambao ni mabinti hasa weupe. Habari kutoka chanzo cha uhakika mama alishindwa tabia za Saidi walitemana.

Side alikuwa keshakichanga cha maana tu ndio akahamia Dar na wengi wamemjulia Saidi Dar background info yake wanaoijua ni kwa wachache hasa watoto wa mjini wa amwanza.

KUYATOA MAISHA

Saidi alisonteshwa na nani sijui mtoto wa IGP hapa ntakuwa muongo sijui ila kwa kifupi ilikuwa ni taarifa za mstuko wa kweli. Baada ya kuoa kwa Mwema ndio network ya kujuana na watu kama Riz na wengineo akaipatia hapo na uBilionea ukaanzia hapo. Ila kwa kifupi

1. Lugumi ni kampuni ya Saidi na si Ridhwani. Ridhwani anaitumia tu kama uchochoro wa kupata tenda na kuvuta chake simply because the guy is loyal na shule hana. Ni rahisi kutumia mtu ambae hajasoma he can be the puppet wewe ukawa puppet master unavuta tu strings.

2. Kwa taarifa tu mwenye pesa nyingi inayopitia kwa Side ni mke wa Mwamunyange na si Riz kama wengi wanavyofikiria. Mke wa Mwamunyange thru saidi wanaSupply pingu,boots, fummigation services,batons na mazaga kibao polisi na jeshini thru Lugumi kwa backup ya mume wake (wajanja wa mjini hili wanalifahamu).

3. Saidi ni kweli pesa anayo ila ndiyo hivyo mambo yakibadilika huko mbeleni yeye ndio scape goat na kwenye hilo hawezi kuchomoka riz na mrs mwamunyange there are just ghosts hawaja Appear kwenye paper work yoyote.

Hivyo wandugu mtu kama B.G TANTAWI wakiuliza mambo kama haya sio kama wana wivu wa kike bali ni wazalendo na wameamua kuhoji nchi yao ikitafunwa. Hii nchi inatafunwa kwelikweli na ndio maana huenda hata watoto wako we ulisema jamaa ana wivu wa kike hawana vitabu shuleni au madawati lakini badala ya kuhoji unapiga vijembe. Aisee mpaka bia yangu imepoa sasa..

Mapanya buku yanatafuna waya wa kupeleka power kwenye CPU ya nchi watu wanaponda wivu wa kike ebooooooo!

Mkuu kula like
 
Fairy Tales do have and end, the Riz era came and will go.....
 
kweli ridhiwani yuko tofauti sana makongoro hivi kwa nini????? R.I.P MWL.NYERERE endelea ridhiwani kuponda pesa najua kelele za chura hazimtishi tembo kunywa maji ila jua SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU.

Akili tuu mkubwa na ujaribu wa kufanya mambo..ana haki zote za kufanya biashara yoyote na mtu yoyote ila kwa kufuata sheria za nchi...do business Ritz use lugumi, use everybody for your benefit kila mtu anatamani kuwa kama wewe sema ndo ivo haiwezekani..people acheni wivu na mfungue akili zenu use every opportunity for your progress
 
La hasha..hilo sio dhumuni langu. Nia yangu ni kupinga upotoshaji UMMa kwa taarifa au habari zisizo na ukweli. Hizo taarifa ulizonazo za uhakika una haki ya kimsingi na kikatiba kunyamaza au kukaa kimya. Ila tusichafue majina ya watu bila kuwa na ukweli kuhusu muhusika. Tunajengeana chuki tu Watanzania zisizo na maana.

sawa nimekuelewa, ila wakati mwingine ili upate kuwa safi na uthibitike mbele za watu lazima kutanguliwe na kuchafuliwa. hiyo ni kipimo thabiti cha usafi wa mtu

mie hata waseme vitu huwa ninasubiri ushahidi usioacha shaka ndipo naunga au napinga hoja kwa ushahidi
 
Mtanzania yeyote hakatazwi kufanya biashara kama atafuata taratibu na sheria zilizopo

Lakini umemuelewa jamaa point yake? Hiyo kampuni kama ni ya Ridhiwani je analipa kodi na je hayo magari yaliyoingizwa nchini chini ya hiyo kampuni yalilipiwa kodi wakati yanaingizwa nchini? Mkuu kumbuka, hawa viongozi na watoto wao hawalipi kodi kimakusudi ila sisi wamiliki wa biashara ndogo ndogo ndiyo tunatozwa hizo kodi.
 
Wabongo kwa majungu mna PHD! kila mzawa anayeanzisha biashara ya maana ni ya Rizwan; mkiona mijengo ya maana iliyojengwa na baba masogange mnasema ya Rizwan. mwacheni mtoto wa watu alaleeee
 
Hata ukijua au usijue, iwe yake au sio yake, analipa kodi au halipi kodi mimi nakuambia UMASIKINI wako na wazee wako hauta kutoka.alopewa kapewa.

Samahani kusema kuwa this is one of the poorest thinking I have ever come across.
 
nimeshawai sema hapa LUGUMI ni mali ya rizone kwa asilimia zote, na meneja wake ni said ambaye ajui kusoma na kuandika ni mjanja kweli uwezi jua.
 
Jamani sometimes tuache majungu yasiyo na tija.

Hata kampuni ya kuua wadudu nayo tatizo?

au unataka umuone akiuza karanga kwenye kikapu au auze icecream za bakhresa ndo mtulie.

kuna vitu vingi na watu wa kuwanyoshea vidole warudi kwenye mstari ila siyo kwa hili la kuua wadudu.
 
Labda tuwekane sawa hapa wazee. Nilikuwa naukodolea macho uzi lakini kutokana na comment yako imebidi nichangie tu.. Kwanza kabisa Side Lugumi aka Bilionea hajawahi kuwa mpambanaji kihalali hivyo hicho cheo mvue.

Saidi namfahamu toka Mwanza miaka ile akiwa mesenja kwenye kampuni ya Amrani Batenga. Kijiwe chake kilikuwa cha mamisheni town wa mwanza jengo la Atc pale chini. Saidi alikuwa anatumwa tu nenda hapa fanya hivi peleka huu mzigo kule kachukue hiki pale nk. Kiukweli jamaa alikuwa loyal kwa jamaa Amrani mpaka akaanza kutumwa mzigo nje ya mkoa na hata nje ya nchi kama Uganda. Mpaka hapa inabidi uelewe kuwa jamaa ni std 7 tu na sio zaidi ya hapo. Kwa waliofanya nae biashara hasa hapa dar watakuwa wanalielewa hili jamaa hajiamini kabisa dili yoyote yeye anahisi kupigwa la macho tu. Miaka ya 2000 Side alipotelea Kigoma baada ya kumpata mama mtu mzima aliyekuwa anafanya kazi kwenye mashirika kama sikosei ya UN. Kwa kifupi mr PUNKY shujaa wako Side alikuwa MARIOOO akiwa huko kigoma. Mchizi ndipo alipotokea huko maana jamaa tayari alikuwa na uzoefu wa mambo ya supplies ya vitu mbali mbali toka akiwa mwanza. Side kapiga dili kibao za supplies kwenye mikoa ya juu huko hasa kigoma kwenye mashirika ya maana kwa mkono wa mama. Huko ndio alikoanza kushika hela.
Side ana ugonjwa kama wasukuma wengine wengi tu ambao ni mabinti hasa weupe. Habari kutoka chanzo cha uhakika mama alishindwa tabia za Saidi walitemana.

Side alikuwa keshakichanga cha maana tu ndio akahamia Dar na wengi wamemjulia Saidi Dar background info yake wanaoijua ni kwa wachache hasa watoto wa mjini wa amwanza.

KUYATOA MAISHA

Saidi alisonteshwa na nani sijui mtoto wa IGP hapa ntakuwa muongo sijui ila kwa kifupi ilikuwa ni taarifa za mstuko wa kweli. Baada ya kuoa kwa Mwema ndio network ya kujuana na watu kama Riz na wengineo akaipatia hapo na uBilionea ukaanzia hapo. Ila kwa kifupi

1. Lugumi ni kampuni ya Saidi na si Ridhwani. Ridhwani anaitumia tu kama uchochoro wa kupata tenda na kuvuta chake simply because the guy is loyal na shule hana. Ni rahisi kutumia mtu ambae hajasoma he can be the puppet wewe ukawa puppet master unavuta tu strings.

2. Kwa taarifa tu mwenye pesa nyingi inayopitia kwa Side ni mke wa Mwamunyange na si Riz kama wengi wanavyofikiria. Mke wa Mwamunyange thru saidi wanaSupply pingu,boots, fummigation services,batons na mazaga kibao polisi na jeshini thru Lugumi kwa backup ya mume wake (wajanja wa mjini hili wanalifahamu).

3. Saidi ni kweli pesa anayo ila ndiyo hivyo mambo yakibadilika huko mbeleni yeye ndio scape goat na kwenye hilo hawezi kuchomoka riz na mrs mwamunyange there are just ghosts hawaja Appear kwenye paper work yoyote.

Hivyo wandugu mtu kama B.G TANTAWI wakiuliza mambo kama haya sio kama wana wivu wa kike bali ni wazalendo na wameamua kuhoji nchi yao ikitafunwa. Hii nchi inatafunwa kwelikweli na ndio maana huenda hata watoto wako we ulisema jamaa ana wivu wa kike hawana vitabu shuleni au madawati lakini badala ya kuhoji unapiga vijembe. Aisee mpaka bia yangu imepoa sasa..

Mapanya buku yanatafuna waya wa kupeleka power kwenye CPU ya nchi watu wanaponda wivu wa kike ebooooooo!
Well said..this is the truth behind the scene
mashibeta umemaliza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom