Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Mkuu hilo jengo arusha ni lipi

Pita along makongoro road ukiona kuna jengo refu kuliko yote linajengwa jua ndio hilo hilo la Ridhiwani...inasemekana itatumika either kwa matumizi ya ofisi or hotel au both...in general ni jengo la Kibiashara...!
 
Jamani dogo alishajisemea kuwa anamiliki kastarlet na magari huwa ni ya washikaji wake hivyo msimsumbue sana. labda tungembana tu atueleze hao washikaji wake ni kina nani!
 
Unajua biashara ya Fumigation tu ndio wanayofanya? Kweli ndio ikufanye uwaze hiviii? FUMIGATION....????? TUUUU????? Ndio utajiri wote uliouona unatokana na kazi hiyo? Hujauliza swali bado. Kaa chini uulize swali ili upate majibu sahihi.
 
Pita along makongoro road ukiona kuna jengo refu kuliko yote linajengwa jua ndio hilo hilo la Ridhiwani...inasemekana itatumika either kwa matumizi ya ofisi or hotel au both...in general ni jengo la Kibiashara...!

Mkuu hapo umekosea hilo jengo la serikali liko chini y wizara y magufuli yako mawili kwa arusha lingine liko nyuma y uhamiaji ni mali ya wakala wa majengo y serikali tba.kusema ya rizwan n ujinga hata kibao cha ujenzi kinasomeka vizuri kiko hapo
 
Achana na hayo majengo ya TBA, kila mtu anayajua, kuna lingine mtaa wa pili pale!
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.

Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?

Mkuu huo ni umbea unataka nani akupe majibu nakushauri nenda kwenye mamlaka husika km TRA vinginevyo nimazoea ya kuishi kiumbeumbea
 
Wewe ndo ufanye utafiti wa kutosha, fika pale ATC HOUSE GHOROFA YA PILI Uanze utafiti wako acha kukurupuka, Tumezoea kuambiwa kuwa ohhh ni ya msukuma mara mhindi bado mchina, lakini yote 9 kumi, ni kuwa kodi analipa TRA and PANGO pale ATC?

Sasa si umuulize mwenyewe Ritz akupe jibu na risiti akuonyeshe? Sasa unategea nani akupe details za Tra ikiwa ww mwenyewe hujui
 
Wivu ni mbaya fanyeni kazi vijana acheni kutumika
 
Khaa!!! Mbona awali tuliambiwa hizi mali ni za EL? Au kamuuzia?? B. G TANTAWI hata STDVII anakushinda kufikiri??
 
Upuuzi huu haupaswi kunyamaziwa, nenda kwa wahusika kawaulize maswali yako au ndio upewa kazi ya kiwachonganisha watz.
 
Hata ukijua au usijue, iwe yake au sio yake, analipa kodi au halipi kodi mimi nakuambia UMASIKINI wako na wazee wako hauta kutoka.alopewa kapewa.

Mawazo mgando hayo hivi watanzania n lini tutajitambua???? Au ndo mapungufu ya elimu yetu???
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.

Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?

unafikir atakubali mkuu lazima akatae
 
Back
Top Bottom