Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.

Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali. Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Swali rahisi kabisa lakini haliwezi kujibiwa. Hivi TRA ooops chijui nani haiwezi kuweka amount ambazo kila kampuni imelipa kama kodi. Hili bunge letu limeoza maswali yapo hapa JF .... ..... ... ooops nachikia Kagame anaifadhili chacha.
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali. Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?
Tuwe tunafanya utafiti (research) kidogo tu kabla hatujaleta Mada hapa jamvini na kuanza kutaja watu majina.
Huyo jamaa anaitwa LUGUMI ni Msukuma fulani ana hela zake na biashara hajaanza jana wa juzi. Uliza vizuri au watakuja watu wanaomfahamu hapa JF watakuelewesha. Mwisho wake mtasema AZAM ni ya Riz na amemuweka Bakhresa tu pale na watoto wake.
 
Wewe ndo ufanye utafiti wa kutosha, fika pale ATC HOUSE GHOROFA YA PILI Uanze utafiti wako acha kukurupuka, Tumezoea kuambiwa kuwa ohhh ni ya msukuma mara mhindi bado mchina, lakini yote 9 kumi, ni kuwa kodi analipa TRA and PANGO pale ATC?
 
Mkuu Tantawi,
Mimi sina haja ya kufanya utafiti. Ukitaka kumjua Huyo LUGUMI ni nani kamuulize Ngeleja au Vijana wake.
Huwa sikurupuki mkuu....huwa sipendi mnaoleta habari za vijiweni kwenye mambo ya msingi na kutikisa hisia za Watanzania wakereketwa. Ridhiwani Kama MTANZANIA yeyote ana Haki ya Kikatiba na kimsingi kuwa na kampuni au biashara yoyote ili mradi amezingatia na kufuata kanuni na sheria za nchi. Unaposema LUGUMI ni ya Ridhiwani ni sawa na Kusema AZAM ni ya Manji Ila kawaweka Bakhresa na watoto wake wazuge tu...Doesn't make sense whatsoever :A S-confused1:
 
ni busara maoni yako yasifunge mjadala, turuhusu wengine wenye taarifa zaidi watujuze, Ritz si yuko humu mwache afafanue mwenyewe, inawezekana unayemtaja ameanza biashara mda mrefu lkn je mali alizonazo ss anaweza kueleza alivyozipata? hakuna wakubwa mapapa waliowekeza kwake?wengine tuna taarifa nyingi za uhakika ila tumekaa kimya
 
pia kuna libar hapa moro lina piga mziki 24, 7 kelele bigwa mzima i
naitwa chilakale, liz unahuzika?
 
ni busara maoni yako yasifunge mjadala, turuhusu wengine wenye taarifa zaidi watujuze, Ritz si yuko humu mwache afafanue mwenyewe, inawezekana unayemtaja ameanza biashara mda mrefu lkn je mali alizonazo ss anaweza kueleza alivyozipata? hakuna wakubwa mapapa waliowekeza kwake?wengine tuna taarifa nyingi za uhakika ila tumekaa kimya
La hasha..hilo sio dhumuni langu. Nia yangu ni kupinga upotoshaji UMMa kwa taarifa au habari zisizo na ukweli. Hizo taarifa ulizonazo za uhakika una haki ya kimsingi na kikatiba kunyamaza au kukaa kimya. Ila tusichafue majina ya watu bila kuwa na ukweli kuhusu muhusika. Tunajengeana chuki tu Watanzania zisizo na maana.
 
Hata ukijua au usijue, iwe yake au sio yake, analipa kodi au halipi kodi mimi nakuambia UMASIKINI wako na wazee wako hauta kutoka.alopewa kapewa.
 
Dah kweli aisee,wabongo wanaamka kila kukicha.

Kama hauumizwi na hizi kodi tunazolipia wacha tunaojua joto ya jua tuulizane kulikoni?its so unfair but nachokipenda zaid NOTHING GOES UNPAIDED ON THIS EARTH
yeah ngumi ya mnyonge sikuzote huumiza sana
 
Hata ukijua au usijue, iwe yake au sio yake, analipa kodi au halipi kodi mimi nakuambia UMASIKINI wako na wazee wako hauta kutoka.alopewa kapewa.

Wacha weeee.....tajiri atazidishiwa na masikini hata kile kidogo atanyanganywa
 
ni busara maoni yako yasifunge mjadala, turuhusu wengine wenye taarifa zaidi watujuze, Ritz si yuko humu mwache afafanue mwenyewe, inawezekana unayemtaja ameanza biashara mda mrefu lkn je mali alizonazo ss anaweza kueleza alivyozipata? hakuna wakubwa mapapa waliowekeza kwake?wengine tuna taarifa nyingi za uhakika ila tumekaa kimya
Na wewe ndiyo wale wale.

Kwa sheria za kibinadamu na kiroho vievile unatenda makosa. Binadamu mwenye conscience hawezi kukaa kimya wakati kuna tatizo kijamii linalohitaji ufumbuzi kwa faida yake na jamii.

Kwa sheria kama za Uingereza ulitakiwa 'utiwe matatani' na enforcemet agency for contributing to or aiding in the commission of a crime.

Yaani wewe unaona watu wanatenda makosa halafu uko kimya. Kitu cha kushangaza unataka watu wa contribute kwenye mjadala wakati wewe uko kimya pamoja na kudai unafahamu mambo mengi.
 
La hasha..hilo sio dhumuni langu. Nia yangu ni kupinga upotoshaji UMMa kwa taarifa au habari zisizo na ukweli. Hizo taarifa ulizonazo za uhakika una haki ya kimsingi na kikatiba kunyamaza au kukaa kimya. Ila tusichafue majina ya watu bila kuwa na ukweli kuhusu muhusika. Tunajengeana chuki tu Watanzania zisizo na maana.
Daaaah! Unampinga sana jamaa lkn kitu usichokijua ni kama usiku wa giza. Au kuna kitu unakijua ndio unajitahidi kumpinga mleta mada ili akate tamaa?

Msukuma-shemeji wa Mwema-BOT-EPA.......Endelea kupinga tutatoa vyote
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali. Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?

Wewe Kijana, hebu acha kuugua huo ugonjwa wa husda na majungu,, acha kabisa mdogo wangu maana hautakusaidia na haujengi picha nzuri ya JF,, Njoo huku Midle east tupige kazi, wenzetu wakenya , waganda, na matatifa mengine kibao wako huku Dubai, Iraq, Iraq Lebanon, Jordan wanapiga kazi, wanasaidia familia zao, sisi tumekalia politik tu,, sasa maneno ya vijiweni tunayaleta mpaka huku.... huu ugonjwa hujaugua wewe peke yako hata enzi zetu tuliugua ugonjwa huu ndo maana nakushauri kwa sababu naujua vizuri,, hatima ya ugonjwa huu ni wewe kwenda barababrani ukisemea hovyo!! Nakumbuka miaka ya 80s kuna watu walishamzushia mzee wetu Nyerere eti yeye ndo mmiliki wa KUGIS transport compay enzi hizo iko juuuu,,, mara nyerere ameonekana Geneva amekwenda kuficha hela,,, mzee wa watu kafa mweupe!! mapaka tunaona aibu.... na kwanza nani kakwambia ukiwa mtoto wa mkubwa basi ujikalie tu home usifanye biashara!!! kutoka moyoni nakupa pole
 
Back
Top Bottom