Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Mbukwa mbona unaonekana hutaki Riz aongelewe? Mkuu huna uwezo wa kutuzuia tutamsema tu
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.

Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?

Kila mwaka kuna jambo jipya. That was 11 years ago.
 
Ulikuwa unatufungulia code ambayo waTz tulio wengi ilitushinda kuifungua enzi na enzi.

Serikali ya Magufuli ilivyokuwa kali na haicheki na nyani, kuja kuufyata mkia kwa Lugumi baada ya kutengeneza kampuni hewa ya kusaga pesa za Polisi, niliamini Lugumi ni kisiki cha mpingo ama ni zimwi.

Kwa dokezo hili, sasa nimeelewa sababu ya Magufuli kubaini dhahiri wizi wa fedha za kununulia mashine za alama ya vidole za Polisi na kubakia akicheka cheka, lile cheko la uchungu moyoni na kuanza kubwatuka mafumbo, kumbe mhusika alikuwa ndiye huyo!

Kweli viongozi wanalindana sana.
 
Back
Top Bottom