njang'et
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 758
- 228
Tuwe tunafanya utafiti (research) kidogo tu kabla hatujaleta Mada hapa jamvini na kuanza kutaja watu majina.
Huyo jamaa anaitwa LUGUMI ni Msukuma fulani ana hela zake na biashara hajaanza jana wa juzi. Uliza vizuri au watakuja watu wanaomfahamu hapa JF watakuelewesha. Mwisho wake mtasema AZAM ni ya Riz na amemuweka Bakhresa tu pale na watoto wake.
kweli mkuu lugumi ni tofauti na rizi ni mjanja wa mjini na pia ndio mmiliki wa kz security.