Kwa mazingira ya sasa, Sioni Kitakachomzuia Ridhiwani Kikwete kuwa Rais wa Tanzania hapo Baadae

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
14,126
23,846
Kama ilivyokuwa kwa Rais Dr Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi sioni Kabisa, narudia tena sioni kabisa Sababu inayomzuia Mwanasheria Kijana Ridhiwani Kikwete.

Kijana huyu anayekadiriwa kuwa na Umri wa miaka 45, Mwanasheria na Naibu waziri Ktk Wizara ya Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora huku akiwa ni Mbunge wa Kuchaguliwa Jimbo la Chalinze Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.

Nawakumbusha tu chawa wenzangu tuwe tunatupia jicho huku na kule ili kugarantee kesho yetu.

Jioni ni Simba na Yanga, tunawatakia Mpambano mwema.
 
Jioni ni Simba na Uanga, tunawatakia Mpambano mwema.
Mmmmm siku ....JK akilala ndio mwisho wa fadhila huyo dogo.....subiri yaja soon ..
 
Kama ilivyokuwa kwa Rais Dr Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi sioni Kabisa, narudia tena sioni kabisa Sababu inayomzuia Mwanasheria Kijana Ridhiwani Kikwete.

Kijana huyu anayekadiriwa kuwa na Umri wa miaka 45, Mwanasheria na Naibu waziri Ktk Wizara ya Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora huku akiwa ni Mbunge wa Kuchaguliwa Jimbo la Chalinze Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.

Nawakumbusha tu chawa wenzangu tuwe tunatupia jicho huku na kule ili kugarantee kesho yetu.

Jioni ni Simba na Uanga, tunawatakia Mpambano mwema.
Mm nafikiri hakuna haki inayopatikana bila kumwaga damu.Kinachofanywa Tanzania na huyu mzee Kikwete ni dharau kubwa kwetu watanzania. Anachojua kufanya huyu huyu mzee ni kuiba kura za watanzania. Toka mwaka 2010 huyu mzee aliposhindwa uchaguz na W. Silaa, amejua cha kufanya. Ni kuiba tu kura za watanzania. Watanzania tutafute haki yetu kwa nguvu.
 
Swala la kumwaga damu hatulitaki aisee. Peleka Drc
 
Kama ilivyokuwa kwa Rais Dr Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi sioni Kabisa, narudia tena sioni kabisa Sababu inayomzuia Mwanasheria Kijana Ridhiwani Kikwete.

Kijana huyu anayekadiriwa kuwa na Umri wa miaka 45, Mwanasheria na Naibu waziri Ktk Wizara ya Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora huku akiwa ni Mbunge wa Kuchaguliwa Jimbo la Chalinze Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.

Nawakumbusha tu chawa wenzangu tuwe tunatupia jicho huku na kule ili kugarantee kesho yetu.

Jioni ni Simba na Uanga, tunawatakia Mpambano mwema.
Tanzania siyo nchi ya kifalme.
 
Mzazi inabidi afanye kama kagame au mseveni ahakikishe ana eliminate watoto wa inner circle yake kama yule wa majina mawe, na wengine ili abaki alone ila kwa hali ya sasa kila mtoto wa mkubwa anakitamani na kila mkubwa anatamani mtoto wake awe
 
Back
Top Bottom