Na mto Lumemo wa Ifakara ni wa Riziwani
pointSs km umeweza kuyajua yt Haya Hilo la kodi limekushinda nini.
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.
Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.
Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.
Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?
Mtanzania yeyote hakatazwi kufanya biashara kama atafuata taratibu na sheria zilizopo
Tuwe tunafanya utafiti (research) kidogo tu kabla hatujaleta Mada hapa jamvini na kuanza kutaja watu majina.
Huyo jamaa anaitwa LUGUMI ni Msukuma fulani ana hela zake na biashara hajaanza jana wa juzi. Uliza vizuri au watakuja watu wanaomfahamu hapa JF watakuelewesha. Mwisho wake mtasema AZAM ni ya Riz na amemuweka Bakhresa tu pale na watoto wake.
Oh, Jamani! May God bless us to be with fearful hearts for we may fool some people for some time not all the people all the time.Always simple mind disccus about people wewe ulitaka Ridh akaishi mwezini ndio uache kumjadili acha uzushi mwenye kampuni mbona anafahamika sio yeye acha kumzulia
Wewe Kijana, hebu acha kuugua huo ugonjwa wa husda na majungu,, acha kabisa mdogo wangu maana hautakusaidia na haujengi picha nzuri ya JF,, Njoo huku Midle east tupige kazi, wenzetu wakenya , waganda, na matatifa mengine kibao wako huku Dubai, Iraq, Iraq Lebanon, Jordan wanapiga kazi, wanasaidia familia zao, sisi tumekalia politik tu,, sasa maneno ya vijiweni tunayaleta mpaka huku.... huu ugonjwa hujaugua wewe peke yako hata enzi zetu tuliugua ugonjwa huu ndo maana nakushauri kwa sababu naujua vizuri,, hatima ya ugonjwa huu ni wewe kwenda barababrani ukisemea hovyo!! Nakumbuka miaka ya 80s kuna watu walishamzushia mzee wetu Nyerere eti yeye ndo mmiliki wa KUGIS transport compay enzi hizo iko juuuu,,, mara nyerere ameonekana Geneva amekwenda kuficha hela,,, mzee wa watu kafa mweupe!! mapaka tunaona aibu.... na kwanza nani kakwambia ukiwa mtoto wa mkubwa basi ujikalie tu home usifanye biashara!!! kutoka moyoni nakupa pole