Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

Binafsi napenda sana wawekezaji wazawa so big up riz hayo mambo mengine kuna taasisi zinatakiwa kufanya kazi zake eg tra nk
 
Cyber law ndo umuhimu wake nauona kabisa.... watu wamekua wazandiki sijui ulofa ndo unawasumbua? husda tuuu kila jengo kubwa la RIZWANI kila hotel kubwa IRZIWANI ushahidi ZERO umbea tu fanya kazi ww muda unasonga acha kiherehere
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.

Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?

Halafu ukute we ni muuza Chips Dume pale Mbagala rangi tatu!

Teh teh teh!

Huu wivu utawaua wengi sana.
 
Borat69@ jitahidi kuangalia madaa zakuleta jamvini cyo kila unachokipata au kukisikoa basi kije hapa,huyo ni mtanzania na anakila sifa ya kuwekeza kwenye nchi yake na maswala ya kodi ni sekta nyingine inayo jitegemea na kutokana na upeo wako mdogo inaonyesha unatama kuwa mwana harakayi japo upeo wako ni mdogo kwenye kuchanganua mambo hayo,uwe mpole hii ndo tz bhanaaaaa
 
Kisa kawekeza riz 1 ndo shida. Wengne wanataman bora angekuwa kawekeza mzungu. Wivu wa kitanzania!
 
Niko Arusha, kuna hii kitu inaitwa Panone nayo anahusishwa nayo. Km ni kweli basi tusubiri yaleee ya watoto wa Mobutu akina Kongolo au wale wa Saddam au wa Gaddafi
 
Nataka kujua kodi zote, yaan ya TRA na PANGO la jengo, sina tatizo na huo uwekezaji, hata angewekeza Nchi nzima.

Sasa umesikia hapa ni TRA? Acha wivu rafiki ameamua kutumia fursa alizonazo karibu !

Kila kitu kina wakati wake subiri wakati wako. Kuwekeza si tatizo bila kujali wewe mtoto wa nani.Yaaani ulitaka afanane na wewe ktk kipato?

Ongeza juhudi katk kutafuta maisha mazuri na si kulalamika,ukishindwa kaombe kuwa mtoto wa hiari ktk ile familia.
 
Uzi huu umenifurahisha.Ngoja nikuambie kitu:Huku kijijini kwetu kila jengo zuri au biashara inayostawi na kuja juu inaitwa ya aidha Kikwete au ya Ridhiwan.Inafurahisha.
 
Kijana mwenzetu, mtanashati na mzalendo wa nchi hii na mwanasheria na wakili msomi wa mahakama kuu Nd. Ridhiwani kikwete ametajwa kumiliki kampuni kubwa iitwayo LUGUMI, kampuni hii ipo maeneo ya hapa POSTA mpya jengo la ATC HOUSE, jengo hili ni mali ya watanzania wote na ndo ofisi kuu ya shirika la Ndege za serikali.

Kampuni hii inajihusisha pamoja na mambo mengine na maswala ya Unyunyiziaji wa dawa za kuulia wadudu yaani Furmigation katika ofisi mbalimbali za umma na binafsi hapa nchini.

Katika kuficha ili asifahamike, kijana huyu amemuweka mtu pale ili awe msimamizi tu, ili yeye awe anatafuta tender kupitia kofia ileeee.

Swali ni je, analipa kodi serikalini? kwa sababu wana magari mengi sana pale, sasa je alilipa kodi ya serikali wakati anayaingiza? na je, Shirika la Ndege la ATC linapata kodi yake?
fanya yako mjini hapa usikarie majungu na umbea.
 
_70428407_013376159.jpg

usijali.... hata huyu alikuwa mara kumi zaidi ya huyo Riz

Mtoto wa Gadaffi...!
 
Niko Arusha, kuna hii kitu inaitwa Panone nayo anahusishwa nayo. Km ni kweli basi tusubiri yaleee ya watoto wa Mobutu akina Kongolo au wale wa Saddam au wa Gaddafi

Nipo Arusha pia mkuu...usisahau pia Lake Oil...! Na lile jengo lisiloisha ktk ile barabara ya Makongoro...mjini kati Arusha! Within Arusha CBD
 
Back
Top Bottom